Umoja wa Mataifa, balozi, ILO MH RAISI @ hali tete ya Taifa

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
wakuu nimekaa nkatafakari nkaona hali ya nchi ni tete, binafsi najiuliza
1. Balozi za mataifa nchini wanayaona haya yanayoendelea hapa nchini¿ ?
2. UN representatives wapo kweli nchini hali imekuwa tete wagonjwa hawana pa kwenda.
3.ILO wanasemaje kuhusu vituko wanavofanyiwa madaktari ikiwemo condition ya kazi .... mfano leo tanga mwanamke amekufa kwa jili tu hospitali haina x try mh.....
4.mh Raisi yupo kweli hata tamko moja hamna kuhusu hali tete
5.je? ni sawa kuandama kuping madaktari kugoma kisa hawana vifaa vya kazi au ni bora kuandamana kugomea serikali isikilize mahitaji ya madktari.....

6. namtakia dr pole ilaaaaaa narudia tena ilaaaaaaaaa
ipo siku
7.Spika wa bunge bwana mahakamani mambk mangapi yapo bt yanazungumziwa......
mbona the day before walizungumzia mh
 
Tulipo sema hii serikali sio Sikivu ndio kwa ajili ya haya tuliposema huyu bwana ni dhahifu tulikuwa na maana hii hajui aseme nini coz plan yake imefail
 
Hakuna mtu ambaye ni mkosefu mbele ya UN na hizo international organization kama anatekeleza interest zao. Kwani wewe hujiulizi ni kwa vipi UN iliingilia mgogoro wa Libya, lakini haikuingilia ule wa Siria na Egypt? Hata watanzania wangeuana, hakuna atakayeingilia, kwa kuwa Kikwete ni wa kwao na anatekeleza yale wanayoyataka wao.
 
Tulipo sema hii serikali sio Sikivu ndio kwa ajili ya haya tuliposema huyu bwana ni dhahifu tulikuwa na maana hii hajui aseme nini coz plan yake imefail

Inanifurahisha sana kuona kuna watu wanaamini bado kuna serikali Tanzania. Kama inggekuwepo labda imetilia usingizi mkali sana. Siku itaamka Tanzania will be no more and they will have no one to rule.
 
Back
Top Bottom