Anawaza nini mkuu wa kaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anawaza nini mkuu wa kaya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mapanga3, Jun 29, 2012.

 1. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 663
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Kama unge bahati kuingia mawazo mwa mkuu wa kaya unafikiri ungekutana na mawazo gani aliyo nayo juu ya mgomo wa madactari na yaliyomkuta Dr. Ulimboka?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mwenzio anawaza ataenda lini kula bata huko new york,we unaongelea masuala ya madaktari!
   
Loading...