Ujio wa madaktari toka nje “..wanatumia ma#&@io yao kufikiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa madaktari toka nje “..wanatumia ma#&@io yao kufikiri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kizimkazimkuu, Jun 30, 2012.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ikumbukwe kuwa taarifa ya Serikali kuagiza madaktari kutoka nje imekuja huku Jumuia ya Madaktari Nchini wakiwa wameitisha mgomo wa madaktari nchi nzima unaoingia siku ya kumi sasa ili kuishinikiza Serikali kuboresha maslai ya madaktari hao na kuboresha mazingira ya utoaji huduma za afya hapa nchini kwa wagonjwa kwa kununua madawa,vifaa na kuongeza miundo mbinu.
  Napenda kunukuu kauli ya Meya masaburi aliyoitoa , Agosti 5 mwaka jana, Dk Masaburi akiwa mjini Arusha, aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kusema kwamba "wabunge wameshindwa kufikiri kwa kutumia akili na badala yake wanatumia makalio yao kufikiri",

  Soma zaidi makala hii Hapa: UJIO WA MADAKTARI TOKA NJE
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Let them come and am sure they would be paid handsomely...the payment equation would be even more complicated. halafu na vitendea kazi pia...its time now kuanza kuviboresha.
   
Loading...