Wazo La kufyeka msitu wa PANDE

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
ninatoa ombi kwa wanawapenda amani na wasiotayari kuvumilia manyanyaso ya watu wasio na hatia, tujiunge pamoja kwa mapanga,mafyekeo na majembe tuufyeke msitu wa PANDE.

Tuwahimize ndugu zetu wachoma mkaa toka mahali mbalimbali waje tuushambulie msitu huu. Yalianza kwa ZOMBE, sasa yamefika Kwa Dr Ulimboka nani anajua kesho atakuwa nani Kule PANDE?

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Tulio mbali tutashiriki vipi? naulaani msitu huu miti yake ikanyauke na watu wakajistiri kwa kuni, mkaa, miti ya kujengea nyumba.
 
ninatoa ombi kwa wanawapenda amani na wasiotayari kuvumilia manyanyaso ya watu wasio na hatia, tujiunge pamoja kwa mapanga,mafyekeo na majembe tuufyeke msitu wa PANDE.

Tuwahimize ndugu zetu wachoma mkaa toka mahali mbalimbali waje tuushambulie msitu huu. Yalianza kwa ZOMBE, sasa yamefika Kwa Dr Ulimboka nani anajua kesho atakuwa nani Kule PANDE?

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Ni wazo zuri sana...naongeza si kuufyeka tu bali kupata wataalamu huru wa DNA na forensics kufanya uchunguzi wa kina juu ya mabaki ya binadamu katika eneo hilo ikiambatana na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira ya kutatanisha kutoa DNA sample kwa ajili ya kufanya comparison na mabaki yatakayopatikana hapo...
 
Tuuuache tu, maana hata tukiufyeka watahamishia ubazazi wao ktk msitu wa Pugu. Afterall serikali haina fedha ya kuboresha host bali inafedha za kuwalimboka wanaowahimiza kuacha matumizi mabaya. Hawa wanaweza kutumia hata ndege kwenda kum-limboka mtu huko ktk msitu wa Lyambalyamfipa na kisha kumuacha aliwe na simba.
 
ninatoa ombi kwa wanawapenda amani na wasiotayari kuvumilia manyanyaso ya watu wasio na hatia, tujiunge pamoja kwa mapanga,mafyekeo na majembe tuufyeke msitu wa PANDE.

Tuwahimize ndugu zetu wachoma mkaa toka mahali mbalimbali waje tuushambulie msitu huu. Yalianza kwa ZOMBE, sasa yamefika Kwa Dr Ulimboka nani anajua kesho atakuwa nani Kule PANDE

Tatizo sio msitu, tatizo ni nia ovu iliyo miongoni mwa baadhi ya viongozi wa vyombo fulani vya dola, Ambapo hatutumii tena akili, elimu, busara na hekima katika kutatua changamoto zinazotukabili badala yake watu wanaka kutumia maguvu ya misuli, na maguvu waliyowezeshwa kifisadi. Msitu wa pende ukifyekwa watatumia bahari, je twaweza ikausha??
 
Ni wazo zuri sana...naongeza si kuufyeka tu bali kupata wataalamu huru wa DNA na forensics kufanya uchunguzi wa kina juu ya mabaki ya binadamu katika eneo hilo ikiambatana na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira ya kutatanisha kutoa DNA sample kwa ajili ya kufanya comparison na mabaki yatakayopatikana hapo...
Mo-TOWN HIVI TANZANIA IMEFIKIA HICHI KIWANGO CHA CRIME INVESTIGATION KWELI SIZANI WATAPIMA NA WATATUPA JALALANI NAKUAMBIA HATA YULE DADA ALIYEMWEKEA MWAKIEMBE SUMU MLIMANI CITY INASEMEKANA ALIPOTEAGA MPAKA LEO NA HELA ZOTE ALIZOAHIDIWA ZILIRUDISHWA KWENYE AC YA WALIOMTUMA ,WAKIFYEKA WATAMKUTA HUKO .
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio Msitu,

Hata ukiufyeka huo watahamia Kazimzumbwi.
Solution ni kuwafyeka hao wanaopeleka watu huko masituni!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom