Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, Jun 29, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [h=2][​IMG] Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapa[/h]
  tangia tupate uhuru hatujapata serikali dhaifu kama hii ambayo rais hatoi tamko kutokana na hali tete alifanikiwa kwenda msibani kwa kanumba lakini steven ulimboka kwa rais ni kama kalazwa india nawaziri mkuu wake anatamka liwalo na liwe badala ya kutatua tatizi wanmwagia moto petrol kwa haya masuala lazima ccm ikubali kupokonywa serikali kiulaini kama wanafikiri ni utani wajaribu kuona kwenye uchaguzi mdogo wowote watakavyoangamizwa mungu ilinde tanzania
   
 2. l

  lito puppy New Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :eek2::bange:
   
 3. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Raha 2015, waanze kufanya bookings kabisa za kutoroka nchini mapema.
   
 4. a

  amagere Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi yetu inafika HAPA kwa sababu tumekuwa watu wa kusema tu hatufanyi maamuzi magumu.hebu tujiulize tumefanya nini kuhakikisha madaktari wanapewa haki zao?Moja ya dai la madaktari ni chanjo ambayo gharama yake ni 2700 tsh hili nalo linahitaji mazungumzo utafiti unaonesha 30% ya wahudumu wa afya ndo wanaougua.Bahati mbaya ugonjwa huu unaharibu Ini na ukiupata hauna TIBA.Mimi nadhani wananchi tupewe tutambie madai ya madaktari tulinganishe na sababu za Pinda na watu wenzake.Kisha tuanze na mh Rais twende Ikulu wala si ubungo watuuwe wote wabaki wao tuone watamuongoza nani.
   
Loading...