Serikali yatenga fidia nono Kigamboni

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Serikali imeidhinisha kuanzishwa kwa Mamlaka ya Uendelezaji Mji wa Kigamboni pamoja na kutenga fedha za kutosha kuwalipa fidia wakazi wa mji huo watakao hamishwa na wale wa kurasini ambao maeneo yao yanachukuliwa kwa ajili ya upanuzi wa Bandari.
Serikali imesema fidia imeongezwa na italipwa ktk mwaka ujao wa fedha unaoanza Julai mwaka huu.
Akitoa maelezo ya serikali NW Ardhi alisema mamlaka ya kuuendeleza mji wa Kigamboni itaanza rasmi baada ya taratibu za kuanzishwa bodi kukamilika.

source:Habari Leo.
 
Hizo pesa si za kulipa fidia kwa wahanga wa kuchukuliwa maeneo yao, bali ni pesa za kuongeza vitambi vya maofisa wa serikali.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Back
Top Bottom