Mwanamke kushitakiwa kwa fumanizi pasipo mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke kushitakiwa kwa fumanizi pasipo mwanaume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by why, Jun 26, 2012.

 1. w

  why JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mtakumbuka taarifa iliyokanushwa kwa 'kigogo' mmoja kufumaniwa na mke wa mtu. Leo tarehe 26 mwanamke huyo aliyefumaniwa na 'kigogo' huyo amefikishwa mahakamani kwa kufumaniwa bila mwanaume.

  Kutokana na hili swali linalonijia akilini ni inawezekanaje mtu kufumaniwa bila mwanaume?

  Hapa naanza kuwa na mashaka na sheria zetu zinzoruhusu tu mtu kutuhumiwa na fumanizi peke yake, lakini najiuliza tena HII ni jamhuri ndio imemshutumu huyu mwanamke kwa kufumaniwa peke yake, labda ni swala la mshitakiwa kuona anajitetyea vipi ili atoke kwenye mtego huu.

  HII SO NJAMA kweli? duuuuuuuuuuuu
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Fafanunua vizuri hiyo kesi imekwendaje mkuu
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Utaratibu wa kisheria hauendi unavowaza, amepatikana mhalifu mmoja huwezi kusema humkamati au kumshitaki kwa kuwa mshiriki mwenzie hajapatikana hapana! kesi itaenda sasa huyu mama akija kwenye utetezi anayo haki kudai mahakama imlete mzinifu mwenzie hapo huenda ukawa mwisho wa kesi au bwana Fisimajichawene akaburuzwa mahakamani kuungana na mzinifu mwenzie,..
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hizi kesi nyingine mpaka unacheka mbavu huna. Anyway tusubiri atajwe mshitakiwa mwezie
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sossss plizzzz!!!!!
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Du lakini hii imekaa kisanii sana!!! Mbona haieleweki. Vipi mumewe huyo mwanamke yuko kimya au alipewa chochote kuyamaliza kiume? Du umaskini unauza utu???!!! Poverty is results to loss of human dignity!!!
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Bado sijakuelewa, kufamaniwa na mbuzi au kuku au what? very strange!
   
 8. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  kafumaniwa na mwanaume fine lakini huyo mwanaume kwa sababu ambazo mimi na wewe hatuzijui hajakamatwa wala kufikishwa mahakamani so mwanamke kufikishwa mahamani kunafungua njia ya mwanaume kupatika kwa kuwa obvious mtu hawezzi kuzini mwenyewe! ila huwezi kusema kwa kuwa mwamnamme hajapatikana sheria ikae kimya!!
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sheria ya Tanzania inashughulikia fumanizi kama madai ya kawaida. Hata hivyo huu ni ushahidi kuwa kigogo alifumaniwa ila alitembeza njuluku na kuwaacha solemba wananchi. Lionchawe alifumaniwa. There is no doubt about it.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nashangaa kuwa huu uzushi wa leo haukuletwa na Tumaini Makene na invisible.
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,389
  Trophy Points: 280
  Hii ndio bongo,

  Hujasikia anashitakiwa mchukua rushwa akaachwa mtoa rushwa??
   
 12. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Ugoni sio kesi ya jinai Tanzania bara,ingekuwa Tanzania visiwani kuna kesi ya kujibu.Lakini kama Afande alipewa mshiko mrefu apotezee,yawezekana sasa anaomba talaka...lisemwalo lipo
   
 13. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280

  Mkuu bila shaka ulikuwepo hapo mahakamani au una taarifa kwa undani.

  (1) Ni nani aliyefungua hiyo kesi, Jamuhuri au mume wa huyo mwanamke.

  (2) Je, katika lusoma hiyo kesi hakimu amesema kuwa alifumaniwa na nani (mgoni mwenzie)

  (3) je, hilo tukio nilo lile la mh. aliyesaidiwa kukanusha na mkuu wa Polisi Singida au fumanizi lingine hilo.

  TUWEKE WAZI PLZ.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!!
   
 14. w

  why JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamhuri ndio imemshitaki.
  Hakimu alisema anashitakiwa kwa kufumaniwa bila kuwepo kwa mwanaume aliefumaniwa nae
  atatakiwa kujibu kesi kwanza kumtaja aliyefumaniwa nae
  haya ndio magumashi
   
 15. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapo ndo utakapo shangaa na roho yako kuwa huyo mwanaume hajulikani jina lake, wakati watu wanamfaham.

  mbona kova wa singida alisema hakuna fumanizi lolote lililotokea mkani singida? kweli tanzania ni nchi ya kipekee kila kitu mtu anakanusha
   
 16. m

  makuka hamis New Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aiseee!!
   
 17. m

  makuka hamis New Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Absolutely!
   
Loading...