Breaking News: Calabash yavamiwa na Majambazi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Kwa taarifa nilizozipata na ku-confirm ni kwamba Majambazi kadhaa wamevamia Calabash na kuumiza watu kwa risasi, ndugu yangu ni mmoja wa watu waliojeruhiwa na sasa tunaelekea Muhimbili. More to come nikishafika eneo la tukio.

N:B: kutokana na comments za watu naomba kuweka sawa records kuwa, huyu hakupigwa risasi kwakua alikua bar anakunywa, Lah hasha alipatwa na mkasa huu kwasababu tu yuko jirani na pale na alikua katika kujitafutia riziki, si kila mtu akipatwa na tatizo bar basi alikua anakunywa.

Calabash ni Bar maarufu sana pale maeneo ya mwenge-Dar es Salaam.
 
Asante sana Mpwa, ndio nataka nitoke job niende huko Muhimbili
Poleni sana, Hayo majambazi yamevamia mchana huu? yakikamatwa yapelekwe Msitu wa Mabwe pande hayo!
 
Kwa taarifa nilizozipata na ku-confirm ni kwamba Majambazi kadhaa wamevamia Calabash na kuumiza watu kwa risasi, ndugu yangu ni mmoja wa watu waliojeruhiwa na sasa tunaelekea Muhimbili. More to come nikishafika eneo la tukio.

Calabash ni Bar maarufu sana pale maeneo ya mwenge-Dar es Salaam.
Calabash along sam nujoma au kuna nyingine mimi siijui? Kam ni ile ninayoijua mimi wamewezaje kuvamia mchana palivyo peupe hivyo tena barabarani?
 
Calabash ni kanisa au??ni kitu gani hiki au uwanja wa Taifa au IKULU??ningefurahije kama Calabash ni magogoni>??wamevamiwa leo saa ngapi kwa nini wameua ,wamepiga au wamejeruhi wangapi??wameteka Daktari yoyote hapo au wamechukua walet na sim??
 
Imenibidi nicheke ingawaje habari hii ni ya kusikitisha!
 
Mpwa ni hapo hapo ila siwezi kujibu hili swali ni gumu sana kwangu, nilipita mida flani hapo nikakuta askari wala sikua hata na habari ndio naingia ofisini napewa taarifa hizi mbaya kwa Mpwa wangu
Calabash along sam nujoma au kuna nyingine mimi siijui? Kam ni ile ninayoijua mimi wamewezaje kuvamia mchana palivyo peupe hivyo tena barabarani?
 
WALEVI WA MCHANA HAO,BIA UNAKUNYWA SAA KUMI??INASHUKA KWELI BIA USIKU TENA BIA MBILI AU TATU ZINATOSHA TATIZO MALIMBUKENI MNATAKA KUNYWA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI MPAKA SAA MBILI ASUBUHI JUMAMOSI ETI WIKEND MNAKULA BATA MPAKA KUKU AONE WIVU HAYA SEMENI NA KINA AFANDE AHMED MSANGI SASA NA LaZIMA WAWAPIGE VIWALET NA VYIM VYENU
 
Tusikimbilie kuhumu kiasi hiki, huyu ndugu yangu hakua Mlevi bali ni wale jamaa wanaoosha magari pale jirani na alikua katika shughuli zake pale za kujitafutia kipato, sasa kutoa simple judgement kama hizi jamani aaaaahhh, ok thanks
WALEVI WA MCHANA HAO,BIA UNAKUNYWA SAA KUMI??INASHUKA KWELI BIA USIKU TENA BIA MBILI AU TATU ZINATOSHA TATIZO MALIMBUKENI MNATAKA KUNYWA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI MPAKA SAA MBILI ASUBUHI JUMAMOSI ETI WIKEND MNAKULA BATA MPAKA KUKU AONE WIVU HAYA SEMENI NA KINA AFANDE AHMED MSANGI SASA NA LaZIMA WAWAPIGE VIWALET NA VYIM VYENU
 
Calabash ni kanisa au??ni kitu gani hiki au uwanja wa Taifa au IKULU??ningefurahije kama Calabash ni magogoni>??wamevamiwa leo saa ngapi kwa nini wameua ,wamepiga au wamejeruhi wangapi??wameteka Daktari yoyote hapo au wamechukua walet na simu??

nimecheka aisee..poleni sana wapwa!
 
Yaani Tz saivi ni mwalomwalo! yaani hatari tupu,poleni wahanga!
 
Asee mbona nimepita hapo sasa havi naona magari yapo shazi kama siku zote za friday??
Au ni calabash nyingine mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom