Kwa wale mnaojua tu, Mercury ready to retrograde next week

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
kwa wanao jua tu.
On 14 July mercury goes retrograde, be ware of thievies, motor cars breakdown,
computer break down, communication break down, quarrels, conmen, etc.

Right now it is in the Rx shadow, which it has entered on 27June.
 
Hilo neno "Rx" huwa linatumiwa sana na madaktari hasa wanapokuandikia dawa. Hapo zitakuwa code za mawasiliano. Huenda wanataka kuandamana hiyo July 14. Je kuna mwenye kuweza ku-decode hiyo habari? Na June 27 kilitokea kitu gani?
 
Mmmmh. :drum::drum::drum::drum:
 
Hilo neno "Rx" huwa linatumiwa sana na madaktari hasa wanapokuandikia dawa. Hapo zitakuwa code za mawasiliano. Huenda wanataka kuandamana hiyo July 14. Je kuna mwenye kuweza ku-decode hiyo habari? Na June 27 kilitokea kitu gani?

Hi imekaa kinajimu zaidi,probably watabiri nyota wanawasiliana hapa.
 
Danniair ungetufafanulia japo kidogo. Haya kwa wanaojua kazi kwenu ss maamuma tukae pembeni.
 
Hilo neno "Rx" huwa linatumiwa sana na madaktari hasa wanapokuandikia dawa. Hapo zitakuwa code za mawasiliano. Huenda wanataka kuandamana hiyo July 14. Je kuna mwenye kuweza ku-decode hiyo habari? Na June 27 kilitokea kitu gani?

Hata kwenye nyanja ya ICT kuna
Tx na Rx
 
Danniair ungetufafanulia japo kidogo. Haya kwa wanaojua kazi kwenu ss maamuma tukae pembeni.

Beethover uko sawa. Rx ina maana ya "Retrograde zone". Huu ni wakati ambao sayari
husika huwa inakuwa karibu sana na dunia. Na huwa inachomoza asubuhi kabla ya jua.
na kuchwa kabla ya jua. Alama hii si ajabu utakuja iona penye screen za CNN. ikikumbusha dunia

Kinajimu kila sayari ina mazuri na mabaya yake iwapo ktk Rx. mfano, zebaki (mercury) inapokuwa ktk Rx
Dalili ya kwanza ni kila mtu kukutana na mtu ambaye umeonana naye siku kadhaa zilizopita.

Masharti yake wakati ikiwa Rx ni kutosahini mikataba, kutoajili au ajiliwa (ukifanya hivyo ajila hiyo
hutadumu nayo zaidi ya miezi 8), kutoanzisha new businesses (ukifanya hivyo haitadumu after 8 months),
ajali nyingi, utapeli mwingi, compyuta kufa, simu,ajali nyingi kuliko, usinunue kitu cha umeme (electronics)
kwa wakati huo zikiwemo lap tops, magari mapya, n.k.

27 June, hii ni kuwa Rx ina hatua 3. Rx 1= planet inaingia ktk Zone ya kupunguza kasi
(zaidi ya kasi ya dunia). Imeingia zone hii 27 June. Rx 2= kasi inakwisha kabisa, na inahamia
mashariki kucha na kuchwa na jua.
Rx 3= inazinduka na kuanza kasi ya kwenda mbele zaidi ya kasi ya dunia. Hapa ikishika kasi itaanza
kuonekana usiku. ikipanda toka magharibi.

Madhara ya Mercury Rx yapo ktk hali ya hewa siku 1 kabla na baada ya wakati inapomaliza Rx.
Mfano 13 July na 6 August tunategemea mvua kubwa. Pia unajikuta ndo una haja sana ya kufanya
hayo niliyotaja hapo juu. Kwani mercury anatawala Mind zetu, nazo zinakuwa hazifanyi kazi vizuri
kwa sababu ya vibrations ni kubwa sana kuliko tunavyohitaji hapa duniani.

La kufanya ni kufanyia marekebisho yale ya zamani. Mf. re-pair, re-write, re-, re-, etc. for computers
we advice owners to make back-ups. Kwani nyingi hufa hasa desktops.
 
retrograde is when the planet slows down its speed more than normal and appears like going backward in the solar system. It may be hard time for Geminis people born 21st may to 20 june as mercury is their ruler.Also its retrograde affects communication and transportation and etc
 
Back
Top Bottom