Inawezekana kuwa mpelelezi wa kujitegemea (PRIVATE INVESTGATOR)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana kuwa mpelelezi wa kujitegemea (PRIVATE INVESTGATOR)?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mcharuko, Jul 7, 2012.

 1. Mcharuko

  Mcharuko Senior Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Heshima kwenu wakuu, Naomba kufahamu kama hii kitu inawezekana hapa
  Tanzania, kama inawezekana ni sifa na taratibu zipi zinahitajika ili kuanzisha hiyo
  kitu, Je imewahi kuwepo hapa nchini?
   
 2. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Vipi, unaona polisi hawawezi kazi?
   
 3. Mcharuko

  Mcharuko Senior Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sina maana hiyo ingawa kiukweli mbinu za upelelezi zinazotumiwa
  na polisi haziridhishi, ni mbinu hafifu ambazo zimejaa mabavu kuliko
  akili, tena siku hizi hawana utaalamu wa kuhoji. Nakitamani sana hiki
  kitengo, tena jambo la ajabu baadhi ya waandishi wa habari wanaweza kuhoji
  kuliko Polisi. Labda wakati umefika sasa kwa baadhi ya waandishi kuhamishiwa
  huko ili mambo yaende vizuri.
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mcharuko, kuna mada kama yako imeshawahi kujadiliwa mapema. jaribu kutumia keyword kuitafuta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...