Werema ni aina gani ya mwanasheria Mkuu katika Tanzania Vis a Vis Tundu Lissu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Werema ni aina gani ya mwanasheria Mkuu katika Tanzania Vis a Vis Tundu Lissu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, Jul 6, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Nimejiuliza sana toka Werema ateuliwe kuwa mwanasheria Mkuu, nikikumbuka kauli yake alipoteuliwa kwamba atatimiza wajibu wake kwa kuzingatia sheria bila kufungamana na upande wowote.

  Nimefanya conclusion kwamba Werema ana ushabiki sana wa sheria na si umakini (more of a sentimental than pragmatic legal mind). Nadhani hata hukumu zake nyingi zilizotupwa na mahakama ya rufaa zilikuwa zaidi za hisia za mwanasheria (lawyer's sentiments) kuliko logiki za kisheria (legal materiality).

  Naona Bungeni ndio kabisaa, tunaona ushabiki wa kisheria zaidi ya umakini wa kisheria toka kwa Werema, tofauti na Tundu Lissu ambaye kwa kweli anajitahidi sana kuonyesha umakini wa kisheria (pragmatic legal reasoning rather than sentimantal legal reasoning)

  Kweli kama ingekuwa ni uwezo wangu, ningemteua Tundu Lissu kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
   
 2. M

  Mpanda Swalwa Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka na mimi nimeanza kuwa na wasiwasi na elimu yake kwani haijawahi kutokea kuwa na mwanasheria hewa kama huyu wa sasa,nina mashaka na wasiwasi pamoja na kusomeshwa bure na Mwalimu Nyerere,alikuwa haudhurii darasani na alipata elimu kwa kupendelewa na mwalimu 1 ambaye alikuwa analelewa kwao. JK amka acha ushikaji.
   
 3. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Werema ni zaidi ya Lusinde katika kuharibu mambo. effect za Lusinde hazionekani ila za huyu bwana ni balaa.
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ccm waweza ingia nguo zako zikiwa safi, but kwakua ccm imechafuka nilazima nawewe utachafuka pia, mi simshangai werema kama wengine wengi 2 ccm walivo
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,754
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Tofauti iliyopo kati yao ni kwamba,Lisu ni Wakili ambaye alishinda mtihani na anapractice sheria na Werema ni mwanasheria ambaye aliwahi kufanya mtihani wa Uwakili na kushindwa vibaya.
   
 6. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Nilishahisi kitu kama hiki. Ninaanza kufikiri labda JK alikuwa na sababu zake maalum kumteua Werema mwenye upungufu mwingi katika nyanja za sheria akiwa na lengo maalum. Inaonekana wazi mno kwamba Werema anaachwa nyuma sana na wenzake katika nyanja hii. Ninachoshukuru ni kwamba sio judge tena. Maana si watu wote wanaweza kukatia rufaa kesi zao.
   
Loading...