Dawasco acheni ufisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawasco acheni ufisadi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Ubwete, Jul 7, 2012.

 1. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dawasco mmekua hafungui maji kwa wakati na ratiba iliyopo. Tukija kulipa Bill za maji mnatuapatia estimated Bill wakati maji ndani ya mwezi mmoja nimepata siku 2 tuu. iweje mkadirie units 40. Tuanhitaji Kamati ya Mashirika ya Umma ifanye Audit na CAG pia awafanyie audit tuone hizi pesa mnazotuibia mnapeleka shimo gani. Meter zenu ni mbovu tukiwaandikia meter reading hamzifuati mnanganagia estimate zenu na kulazimisha deni kubwa. Mko ki rushwa rushwa tuu. Mh waziri wa maji na CEO hebu safisheni uchafu huu wa dawasco.
   
Loading...