trafick lights za chang'ombe

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
389
212
ama kweli leo sikukuu, hizi taa ziliwashwa kwa muda wa wiki moja tu.... Ila leo sikukuu ya sabasaba taa zimewashwa....

Sijui baada ya sabasaba zitawashwa tena lini, labda uhuru day........
 
Back
Top Bottom