Mikanda ya usalama kwenye mabasi na usalama wa abiria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikanda ya usalama kwenye mabasi na usalama wa abiria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Jul 8, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa nikioanisha muundo wa mikanda ya usalama kwenye magari madogo na ile ya mabasi makubwa ya abiria na kuoana kama ifuatavyoL. Mikanda ya magari madogo (hususani ule wa dereva) inayoanzia juu kwenye bega la kulia hadi chini upande wa kushoto ni bora kwa usalama kwani inazuia mtu kwenda mbele na juu; tofauti na mikanda ya mabasi makubwa ya abiria ambayo mikanda yake hupita kiunoni tu, hivyo kunzuia mtu kwenda mbele bali si juu. Wakati wa changamoto ya ajali hutoa nafasi ya mtu kurushwa rushwa juu na chini.
  Je nini mtizamo wako?
  Naomba kuweakilisha
   
 2. h

  hidekel Senior Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkanda ni mkanda tu hata kwenye ndege unpita kiunoni tu. cha msingi funga hata huo wa kiunoni. kwa watanzania wengi na serikali kwa ujumla kufunga mikanda kwenye mabasi hakupewi kipaumbele sana ukilinganisha na nchi jirani (Kenya). ila ni bora tujenge utamaduni wa kufunga mikanda kwenye mabasi sio tufunge kwa kuogopa faini
   
Loading...