Robert Wanga achafuliwa mwenyekiti wa ccm kata ya saranga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Robert Wanga achafuliwa mwenyekiti wa ccm kata ya saranga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makupa, Jul 8, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mfanyakazi wa Bank kuu Robert Wanga amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti wa ccm kata ya saranga kwa ushindi wa kishindo mno kwenye uchaguzi uliofanyika jana.Hongera sana wanga
   
 2. t

  testa JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  rekebisha kichwa cha habari mkuu maana umetutisha sana
   
 3. L

  Liky Senior Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kumbe watumishi wa umma wanaruhusiwa kushiriki siasa?!!! Hatari!!!
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Achafuliwa ama achaguliwa?
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  wamechoka kuiba 'miEPA' wanajificha kwenye siasa!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Unakurupuka nini haswa!

  Rekebisha heading usomeke angalau!
  Utafikiri unafukuzwa!

  M4c 2015 haitambakiza hata mmoja!
  Tuombe uzima na tuone!
   
 7. t

  testa JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jamaa katoa rushwa sana sijui kama TAKUKURU wanalijua hili leo nilikuwa na mmoja wa wapiga kura wake ananiambia jinsi huyu mtumishi wa umma alivyokuwa akichezea kodi zetu
   
 8. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Heading iko sahihi, wewe kuvikwa gamba si ndo kuchafuliwa kwenyewe.
   
Loading...