Happy birthday Hon. Mwigulu L. Nchemba: Hizi ni salamu zangu kwako!

Status
Not open for further replies.

sembuli

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
757
383
Hongera mjomba, kwa leo 7th july kutimiza umri wa miaka 33.ni umri wa kijana wa makamu na inabidi sasa uanze kuenenda kama umri wako, what do i mean by this?

Namaanisha sasa uache ile tabia ya kuropoka hovyo bungeni na kutumiwa kama afisa mipasho wa chama.

Kadhalika ,tumeshuhudia ukikiongoza chama chako kupoteza kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki, kana kwamba ukistaajabu ya musa, majuzi tena bungeni umekurupuka na kukishutumu chadema kuhusika na mgomo wa madaktari na ukashindwa kuthibitisha:

Ni matarajio yangu kuwa kwa umri uliofikia leo, utajirekebisha uropokaji na kuanza kuishi kisomi na ki-kijana wa makamo!! nakutakia afya njema na mungu akujaalie busara kadri unavoongezeka umri!!

Happy birthday Mwigulu Nchemba
 
Huyo toka chuo mlimani pale tulikuwa tunamuita mchemfu ...(chief) ..... Hawezi kuacha... Ukiongea nae kwa muda mfupi utamuOna kifaa ila ukikaa nae kwa muda mfupi utajua ni dhaifuuuuuuuuuuuuuuuu
 
happy birthdayyy Jeeembeeeeeee na bado hadi wakimbie kule mjengoni wapashe wapashe hawa wahafidhina washiranga CDM
 
Hongera mjomba, kwa leo 7th july kutimiza umri wa miaka 33.ni umri wa kijana wa makamu na inabidi sasa uanze kuenenda kama umri wako, what do i mean by this?

Namaanisha sasa uache ile tabia ya kuropoka hovyo bungeni na kutumiwa kama afisa mipasho wa chama.

Kadhalika ,tumeshuhudia ukikiongoza chama chako kupoteza kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki, kana kwamba ukistaajabu ya musa, majuzi tena bungeni umekurupuka na kukishutumu chadema kuhusika na mgomo wa madaktari na ukashindwa kuthibitisha:

Ni matarajio yangu kuwa kwa umri uliofikia leo, utajirekebisha uropokaji na kuanza kuishi kisomi na ki-kijana wa makamo!! nakutakia afya njema na mungu akujaalie busara kadri unavoongezeka umri!!

Happy birthday Mwigulu Nchemba

mwigulu kichwa-maji.
 
Hovyo kabisa hili jamaa hewa tupu upstairs kazi kujisifie mara nimesoma hiki mara kile, kujenga hoja mwepesi ,kifupi jamaa kilaza atakuwa alidesa ..mlio karibu mshaurini.
 
Hongera mjomba, kwa leo 7th july kutimiza umri wa miaka 33.ni umri wa kijana wa makamu na inabidi sasa uanze kuenenda kama umri wako, what do i mean by this?

Namaanisha sasa uache ile tabia ya kuropoka hovyo bungeni na kutumiwa kama afisa mipasho wa chama.

Kadhalika ,tumeshuhudia ukikiongoza chama chako kupoteza kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki, kana kwamba ukistaajabu ya musa, majuzi tena bungeni umekurupuka na kukishutumu chadema kuhusika na mgomo wa madaktari na ukashindwa kuthibitisha:

Ni matarajio yangu kuwa kwa umri uliofikia leo, utajirekebisha uropokaji na kuanza kuishi kisomi na ki-kijana wa makamo!! nakutakia afya njema na mungu akujaalie busara kadri unavoongezeka umri!!

Happy birthday Mwigulu Nchemba

Mwigulu ni JEMBEEEEE pale mjengoni kila akisimama utasikia CDM wote wanamtizama na kusikitika utadhani kuna msiba, kumbe jamaa haogopi kuwaambia ukweli. Mwigulu ni sawa sawa na CDM wote bungeni
 
Happy birthday Mwigulu, kiboko ya Chadema.
Hivi hujajua mpaka leo kuwa huyo jamaa yako ana "Behavioral Disoders"? Na wewe kama zuzu unamsifia badala ya kumsaidia apate huduma stahili.Kweli kwa wajinga kama nyie hakuna dawa
 
happy birthdayyy Jeeembeeeeeee na bado hadi wakimbie kule mjengoni wapashe wapashe hawa wahafidhina washiranga CDM

Aibu! Kumbe kuna wenzetu wanashabikia mipasho Bungeni? Kwa manufaa ya nani? Ndicho tulichowapeleka Bungeni? Spika na Wenyeviti ni dhaifu na wamechangia kuporomosha hadhi ya Bunge na hata Serikali.
"Thithi Mwenyekiti wa Chama chetu ni Porofetha, wao Menyekiti wao ni Dithko Joka". "Elimu ya Wabunge wa ni kama ya mtoto wa daratha la tatu !"
Shame, very shame!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom