Nimepita katika Petrol Station ya Kyaka kuweka mafuta ktk pikipiki yangu nikielekea Bukoba. Nimekuta petrol station imefungwa na kuambiwa mmiliki wake Mkuu wa zamani wa chuo cha Polisi Senior...
Ikiwa kwa Miaka mingi, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, inategemea makusanyo ya Ushuru wa kodi za Sigara na Vinywaji (hasa Pombe) Katika kuendesha Shughuli zake (Kama tulivyoshuhudia...
Ndugu zangu wana JF,
Tangu asubuhi ya leo hakuna usafiri wa kutoka Moshi kwenda Arusha wala kutoka Arusha kwenda Moshi. Hii inatokana na mgomo mkali kuwahi kuonekana ambao ulianza leo saa 11:00...
Mughonile wanajamvi wenzangu.
Mimi kama mkazi wa Mkoa wa Mbeya natoa pongezi zangu za dhati kwa Dr.Kimei na CRDB Bank kwa mchango wao wa zaidi ya Shillingi millioni 65 kusaidia ujenzi wa Chuo...
Sunday, July 8, 2012SAKATA LA WATUMISHI WASIO NA SIFA JIJI LA MBEYA KUPANDISHWA VYEO LASABABISHA MAKUBWA
SAKATA la baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupandishwa vyeo pasipokuwa...
Serikali ina mpango wa kuhamisha mzani wa agari toka kibaha kwenda vigwaza ikiwa ni sehemu ya kupunguza foleni, sidhani kama hili ni suruhisho la foleni.
Wakuu,
tumekusanya taarifa zote zinazomhusu huyu mtoto,
naomba kwa heshima kabisa Jf member ambao mnaaminika kama source nzuri ya taarifa kuacha kumjadili huyu kijana kwa kuwa hadhi yake ni ndogo...
Kwa mtu mwenye consistence check katika habari za ITV kuanzia taarifa ya saa mbili jumapili usiku waliikaushia taarifa ya TISS kuhusishwa na kuwawinda kimauwaji viongozi wa chadema.leo jumatatu...
Chombo cha kudhibiti mtandao chafungwa
na Danson Kaijage, Dodoma
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, amesema Serikali inafunga chombo maalumu cha kudhibiti...
Namala Mkopi
Just be Informed; Nimeitwa Central Police sababu kuna hati ya kukamatwa mimi Namala Mkopi kwa kosa la kuto tii amri ya mahakama.
Amri nilopewa inasema hivi;
MAT isiitishe mgomo na...
Akiwa ndani ya Sabasaba na PPR na baada ya kuona bidhaa fulani inayovutia katika banda la maonyesho, hukosi kumsikia akinena, "……….utafikiri vinatoka ulaya…." au...
Haya wana JF nimefanikiwa kuiona katuni iliyo andaliwa na mchoraji mahiri sana (kipanya) ikanifurahisha sana, nikaona sina budi kushare na wana JF mtandaoni ili yapatikane maoni kidogo juu ya...
Kwa kawaida ukienda udsm kuchukua transcript unatakiwa usubirie siku kumi na nne(14) za kazi ili uweze kuipata. Hata kama una ishu ya maana na inayohitaji transcript kwa haraka itakwama! Pamoja...
Mwenye taarifa ya maendeleo ya Vengu wa Original comed anipe maana ni muda mrefu niliposikia kapelekwa India kutibiwa hata Comedians kina Masanja wako kimya Kuna nini?Hata vyombo vya habari kimya...
kwa mtu anaesafiri sana kwa kutumia uwanja wa kimataifa wa dar es salam,hakika atakutwa na matatizo mengi kabla ya kupanda ndege,na hata wakati wa kurudi.
hivi asali lita 3 zawadi mpaka ilipiwe...
It is horrible and sadening to see that some hawkers and peddlers selling these pornographic cds and dvds so freely with out fear. I have observed that it is now common to see such dvds along...
Hi karibuni nilifuatwa na madalali wa nyumba wakiambatana na dalali mwingine mwenye kampuni na 'offer' nono ajabu.
Anachotakiwa mwenye nyumba afanye makubaliana ya awali na huyu dalali kabla...
Huwa nikikumbuka misemo ya mkulu wetu JK sometimes mbavu zinavunjikavunjika...hebu ona mwenyewe hii misemo yake...mhh...
...wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao!.....!
...ukitaka kula...