Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hawezi kujipeleka polisi kuhojiwa kutokana na kauli yake kwamba yeye na viongozi wengine wawili wa chama hicho wanatishiwa kuuawa na kigogo mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamnvi heshima mbele, Napenda kufahamu hawa watu wa GNLD na freemasons wana uhusino gani maana kuna stori kuwa hawa freemasons sasa wameamua kuja indirectly, na sasa wanapitia mlango wa nyuma...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
2050 si itakuwa balaa!!.
0 Reactions
0 Replies
44K Views
Madicteta waliowahi kutokea na hadi sasa wapo Afrika ni: 1. Idd Amin wa Uganda 2. Colonel Muammar Gaddafi - Libya 3. Jean-Bedel Bokassa - CAR 4. Mobutu Sese Seko – [Zaire] Congo 5. Robert Mugabe –...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ninaushauri mdogo tu kwamba kwanini msiungane muanzishe asasi/hospital/shirika lolote lile kwa malengo ya kufungua hospitali kubwa kabisa hapa nchini? Mkiungana mtapata msaada tu lazima...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana jf. Niko kigoma nampongeza zito. Na kafulila kwa jitihada zake zkuhakikisha majimbo yao yanajengewa barabara za kiwango cha lami.hili limetekelezwa.lakini kuna hatari maions hapa kwenye njia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maeneo ya sinza wapi nitapata wakala,vingamuzi vyao ni sh.ngapi ,wanachanel ngapi na local chanel ni ngapi na zipi. Kwa yeyote anayetumia ninaomba anijuze Best regards.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nchi za Afrika zinazoonga kidekrasia ni South Africa Cape Verde Botswana Lesotho Benin Link ni Democratic countries in Africa Kwanini Tanzania si miongoni mwa nchi za kidemokrasia katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka Wizara ya Maliasiali na Utalii, Baraza la Mazingira la Taifa (NEMC) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Uchunguzi wa kina kabisa umefanyika!.Imebainika kuwa Mashine maalum ya uchunguzi wa Mwili wa Binadamu aina ya Cityscan inauzwa Dola 150,000 Sawa na VX Moja,Inchini Rwanda zipo Mbili,Sudani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Licha ya kuwa kwenye mgodi wa hapa Geita kuna ziada ya 5MG. Mji huu hakuna umeme wa shirika letu la ugavi wa umeme kwa masaa 24 sasa hakuna taarifa yoyote kutoka kwa Badra! Kunani huko tanesco jamani.
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Ni saa tatu na dakika 25,umeme unakatika huku maeneo ya Mikocheni B. Naarifiwa kuwa mgawo umerejea ghafla. Giza lateka mitaa. Wenye majenereta waendelea kutesa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Waalimu katika wilaya ya Ileje wamekusanyika katika ofidi ya mkurugenzi wa wilaya kudai mapunjo ya madai yao ya mishahara ya nyuma,hela za likizo,uhamisho ambapo katika malipo ya mwanzo wanadai...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa...
15 Reactions
95 Replies
7K Views
Wadau hili tangazo nimelikuta kwenye gazeti la mwananchi la leo,nimeona nilibandike hapa. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la kuitishwa migomo isiyozingatia taratibu zilizowekwa kisheria.Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo mbunge wa Kigoma mh. Kafulila alitoa rai bungeni ya kwamba anao ushahidi wa kutosha wa kuthihirisha ya kwamba kushindwa kwa serikali katika kesi ya Richmond kulitokana na njama zilizosukwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu juzi nimekuwa nikitazama habari za itv bila kuona habari za chadema na matamko/sera/taarifa n.k sasa sijui wamepingwa mkwala na jack zoka, kwani ukitaza habari cloud tv, mlimani tv utaona...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutokana na kile kinachoendelea kutokea kuanzi siku ya jumatatu kwa kukatika umeme kila baada ya saa takribani 7, hatuna budi kusema mgao wa umeme umerejea rasmi huku wananchi wengi wakiitegemea...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Meli inayofahamika kama Bahara. Iliyokuwa imebeba mafuta lita elfu 50,000 za dizeli. Mali ya TANESCO. Chanzo cha moto ni gari iliyokuwa imebebwa ndani ya meli hiyo. Inasemekana kuwa wakati...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
This weekend nilikua Tanga kwa mapumziko, nikawa natafuta usafiri kutoka Tanga kwenda Zanzibar ili kuwahi ufunguzi wa tamasha la Ziff!!! Wenyeji wakaniambia kua hakuna Boat lakwenda zenji siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…