Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Kutokana na kile kinachoendelea kutokea kuanzi siku ya jumatatu kwa kukatika umeme kila baada ya saa takribani 7, hatuna budi kusema mgao wa umeme umerejea rasmi huku wananchi wengi wakiitegemea nishati hiyo ya umeme ambayo ndiyo tegemezi kwa watanzania wengi!