mwanamapinduko
Senior Member
- Jan 24, 2011
- 178
- 41
Licha ya kuwa kwenye mgodi wa hapa Geita kuna ziada ya 5MG. Mji huu hakuna umeme wa shirika letu la ugavi wa umeme kwa masaa 24 sasa hakuna taarifa yoyote kutoka kwa Badra! Kunani huko tanesco jamani.