Alama za barabarani. Zinahitajika kidawhe kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alama za barabarani. Zinahitajika kidawhe kigoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lihove, Jul 12, 2012.

 1. L

  Lihove JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wana jf. Niko kigoma nampongeza zito. Na kafulila kwa jitihada zake zkuhakikisha majimbo yao yanajengewa barabara za kiwango cha lami.hili limetekelezwa.lakini kuna hatari maions hapa kwenye njia pands ya kutoka kidawhe kwemda kazura mimba.ukitoka kaxuramimba unapoikuts ile barabars ya kwenda kasulu hapo kidawhe hspsms ala.a ya tadhali..mgeni yoyote wa njia hii hapo lazima apate ajali tu.alama zinahitajika haraka sana hap.
   
Loading...