Usafiri bado tatizo kwa baadhi ya mikoa hapa nchini.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
This weekend nilikua Tanga kwa mapumziko, nikawa natafuta usafiri kutoka Tanga kwenda Zanzibar ili kuwahi ufunguzi wa tamasha la Ziff!!! Wenyeji wakaniambia kua hakuna Boat lakwenda zenji siku hiyo ya jumamosi inanibidi kusubiri mpaka jumanne, vile vile hakukua na direct connection ya ndege toka Tanga mpaka zenji..so nililazimika kusafiri mpaka Dar ili kutimiza azma yangu.

Hili ni tatizo linanishangaza sana..kama katika karne hii bado kuna matatizo ya USAFIRI???? Kwanini watanzania tumekalia tu siasa na kuacha kufanya mambo ya maendeleo?? Hatuna hata boats za kwenda zenji toka Tanga???
 
Back
Top Bottom