Mawazo yangu: Madaktari wote Mliofukuzwa na hata mnaotendewa hila.

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Mimi ninaushauri mdogo tu kwamba kwanini msiungane muanzishe asasi/hospital/shirika lolote lile kwa malengo ya kufungua hospitali kubwa kabisa hapa nchini? Mkiungana mtapata msaada tu lazima kutoka kwa wadau mbali mbali.

Naenda kulala usiku mwema...
 
Tatizo sio kuanzisha asasi..? Ishu ni kibali kutoka kwa serikali ya m k w e r e.
 
Tatizo sio kuanzisha asasi..? Ishu ni kibali kutoka kwa serikali ya m k w e r e.

Unganeni na madaktari waliokwisha pata vibali mbona wako wengi nchini. Mkiamua mnaweza and in the process mkajisaidia nyinyi wenyewe na waTanzania wenzenu!!
 
kama huna leseni manake huruhusiwi ku-practice utabibu ndani ya mipaka ya URT.
 
Vema wataanzi Hospitali ya kwao, binafsi, ambayo itapaswa kuendeshwa kibiashara ili wapate faida.

Swali la kujiuliza, dada yangu wa kule Nyangao, mjomba wa kule Lingusenguse, binamu wa Mtwivila na bibi wa Galalsonai-narai wataweza gharama?
 
Back
Top Bottom