Hii ndo tanzania bwana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo tanzania bwana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by laigwenan, Jul 11, 2012.

 1. l

  laigwenan JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uchunguzi wa kina kabisa umefanyika!.Imebainika kuwa Mashine maalum ya uchunguzi wa Mwili wa Binadamu aina ya Cityscan inauzwa Dola 150,000 Sawa na VX Moja,Inchini Rwanda zipo Mbili,Sudani ya Kusini ipo Moja, Uganda Moja na Kenya zipo tatu Pamoja na umuhimu wake amini usiamini Tanzania hakuna hata Moja! Muulize daktari yoyote akwambie umuhimu wa mashine hii ndo ushangae vizuri. Hii ndo Bongo bwana!
   
Loading...