Mgawo warejea...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni saa tatu na dakika 25,umeme unakatika huku maeneo ya Mikocheni B. Naarifiwa kuwa mgawo umerejea ghafla. Giza lateka mitaa. Wenye majenereta waendelea kutesa...
 
Huwezi kuconfirm kuwa mgao umerudi kwa kukatika umeme mara moja mkuu, inawezekana kuna short circuit somewhere. If it becomes recurrent then we'll be forced to believe this!!!!
 
Aaah jf! Ngoja wenyewe waje, watakupatia majibu, naona wapo kule jukwaa la siasa wanachangia thread ya pasco mayalla na ze mutuz, bahar big show @NYI
 
Ni saa tatu na dakika 25,umeme unakatika huku maeneo ya Mikocheni B. Naarifiwa kuwa mgawo umerejea ghafla. Giza lateka mitaa. Wenye majenereta waendelea kutesa...

siyo Dar tu, ni nchi nzima. Hata pande hizi za Kanda ya Ziwa umeme umekatika muda huo huo na mpaka sasa haujarudi. Sitashangaa kama tunarudi tena mgawoni. Hii Tanganyika bwn!
 
Updates: Punde umeme umerejea. Nimetaarifiwa na Badra Masoud,Msemaji wa TANESCO, kuwa lilikuwa ni tatizo la kiufundi. Chanzo changu cha habari cha mwanzoni nusura kiniingize Mabwepande...
 
Hongera kwa kuwa mkweli!next time uwe unachunguza vyema kabla ya kupost humu,unaweza kutana na maneno mbofumbofu hadi ujichukie.
 
ni kwel ata arusha tangia juzi wanakata umeme,apa saiv bado nipo kazni na hamna umeme jana mida kama saa 1 home umeme ulikata kama ilivyo leo kata ingne
 
Updates: Punde umeme umerejea. Nimetaarifiwa na Badra Masoud,Msemaji wa TANESCO, kuwa lilikuwa ni tatizo la kiufundi. Chanzo changu cha habari cha mwanzoni nusura kiniingize Mabwepande...
Unaona sasa, "one premise (not promise) does not make a conclusion"
 
Updates: Punde umeme umerejea. Nimetaarifiwa na Badra Masoud,Msemaji wa TANESCO, kuwa lilikuwa ni tatizo la kiufundi. Chanzo changu cha habari cha mwanzoni nusura kiniingize Mabwepande...

unabahati! we ujui kama mimi ndo MGAZA nilipewa zawadi ya computer na moderm! ningekuja kukutoa msituni mkuu! usijali
 
Mi nimefikiri ni hitilafu kumbe ndio ule upuuzi wa kizembe umeanza!

Tangu saa nne usiku hatuna mpaka sasa hatunaga umeme!
 
Back
Top Bottom