mgomo wa waalimu Ileje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgomo wa waalimu Ileje

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by trigger, Jul 11, 2012.

 1. t

  trigger Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Waalimu katika wilaya ya Ileje wamekusanyika katika ofidi ya mkurugenzi wa wilaya kudai mapunjo ya madai yao ya mishahara ya nyuma,hela za likizo,uhamisho ambapo katika malipo ya mwanzo wanadai kuna wenzao walichomolewa kwa makusudi katika kitabu cha wanaodai madai hayo.Wamesema hawatafundisha mpaka kieleweke
   
 2. n

  nyangwe Senior Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inatia moyo sana kuona home kwangu walimu wamethubutu kudai haki zao toka kwa serikali ya mkoloni mweusi, viva walimu
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Cheche za moto zazidi kusambaa, itafika wakati ambapo moto ukiwaka hautazimika kamwe.
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Wafanye wote , watalipwa au watatuokoa kada zingine na Nchi nzima.  Tanzania Is On e-Bay , Go Bid Chap Chap
   
 5. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,885
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  walimu hawawezi kugoma kwani wengi wao wanatumia vyeti vya kufoji..wakirogwa tu kuiga madaktari yatawakuta yale yaliyotokea kwa masoja kwa NIDA kuwashukia kabla hata wizara ya elimu haijawarukia. Tatizo nchi yetu inaendeshwa kimagumashi sanaaaaaa
   
Loading...