Kwanini ITV inafanya haya?

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Tangu juzi nimekuwa nikitazama habari za itv bila kuona habari za chadema na matamko/sera/taarifa n.k

sasa sijui wamepingwa mkwala na jack zoka, kwani ukitaza habari cloud tv, mlimani tv utaona habari hizi pamoja na mic ya ITV ikiwemo.... kwanini tena wanakua hivi sasa

ok ITV jilekebisheni bhana balance habari zenu hili heshima yenu itukuke.
 
Mkuu kwan kuna sheria inakulazimisha uangalie ITV, kama vp nitakuletea DVD ya maandamano uweke siku nzima uangalie sera za CDM.
 
Umeonaeeh!, hawa nao wanaisaliti jamii, hawafai kabisa tuwaweke kwenye orodha nyeusi kama tbc
 
hata mimi nimeanza kuwa na wasiwasi na hichi kituo.....somthing is wrong
 
Imeandikwa wapi kuwa ni lazima TV binafsi za Tanzania waonyeshe habari za Chadema ungejaribu kuwashauri viongozi wa Chadema waanzishe TV yao ikifika usiku kama hakuna vipindi mnaweka CD ya Lema.
 
Imeandikwa wapi kuwa ni lazima TV binafsi za Tanzania waonyeshe habari za Chadema ungejaribu kuwashauri viongozi wa Chadema waanzishe TV yao ikifika usiku kama hakuna vipindi mnaweka CD ya Lema.
kituo kizur cha habar uwa kinabalance vzuri kabisa coverage zake acha JAZBA jibu hoja
 
Imeandikwa wapi kuwa ni lazima TV binafsi za Tanzania waonyeshe habari za Chadema ungejaribu kuwashauri viongozi wa Chadema waanzishe TV yao ikifika usiku kama hakuna vipindi mnaweka CD ya Lema.

jk Inaonesha Humpendi sana LEMA kwani aliwapa Shida Sana dah!
 
ukiona hivo ujue tayari kashikwa pabaya, CDM waanzishe CDM tv haya mambo ya kutegemea watu wengine inapunguza kasi ya kufika magogoni
 
Naomba namba ya simu ya MP wa M4C hapa!!!!!!!!!
Nataka nimtwangie na anipe jibu LINI CDM TUTAMILIKI TV YETU.. Tumechoka kuchaguliwa habari bwana!!!!
 
yale yale, anaogopa kumuudhi bana kubwa, humjui MISAFARI kwa visasi!?
 
Maneno ya kutangaza uzalendo yameandikwa kwenye kila moyo wa kizalendo.
 
Tanzania daima ni chombo cha habari, mbona wakati mwingine Nape akisema maneno mazuri hawaandiki?

sijawah msikia Katibu Mwenez NAPE kaongea cha maana kama hawakuandika habar yake yoyote basi watakua ni chombo makini hawatak kuchosha wasomaji wake
 
Imeandikwa wapi kuwa ni lazima TV binafsi za Tanzania waonyeshe habari za Chadema ungejaribu kuwashauri viongozi wa Chadema waanzishe TV yao ikifika usiku kama hakuna vipindi mnaweka CD ya Lema.
Acha itikadi zisizo na msingi mbona nyie gambaz mnapata coverage ya kutosha.2015 IS NOT LATE
UTASHIKA ADABU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom