WanaJF Tukutane Ana kwa Ana

Edwin Mtei

Senior Member
Dec 13, 2008
181
342
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake.

Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda ukakubali kuvua gamba kama unalivaa hadi leo. Sisi CDM tunatumia mantiki, sio mabavu.
 
Tutakutana after 2015 watawala wakibadirika mkuu, maana mbinu yenu sasa hivi tunaiogopa.
 
Asante mzee kwa wazo, Nashukuru kutubainishia kuwa Dalai lama nae kumbe anatoka kaskazini!!
 
MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake.

Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda ukakubali kuvua gamba kama unalivaa hadi leo. Sisi CDM tunatumia mantiki, sio mabavu.

Hata kama nikija au tukionana utanilipa siji n'goo, unataka unipeleke mabwepande nimekushtukia, tupeane makavu live humuhumu JF tujenge hoja za kiukombozi afu kila mtu kula kwake au kwenu.
 
Mkuu asante, ila DALAi lama ni mwoga, kuna siku alipendekeza tungeonana lakini akaogopa
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaa, Mzee Mtei. Wengine sura zetu hazina mvuto wa kisiasa. Ntabaki mtoto mwaminifu wa nchi yangu na profession kwenye kazi yangu. Hayo mengine tutayafanya tukiwa mbali na mizunguko ya wanasiasa,lol!
 
Sasa naona usalama kazini....
Hata kama nikija au tukionana utanilipa siji n'goo, unataka unipeleke mabwepande nimekushtukia, tupeane makavu live humuhumu JF tujenge hoja za kiukombozi afu kila mtu kula kwake au kwenu.
Hahaha, hunipati. Baada tu ya kusema wewe ni CDM maana hufananii

From above replies to Mzee Mtei's (verified JF Gold Member and Founder of CDM) invitation, I can sum-up that we have a very serious problem in JF and the nation as a whole. We have a population of citizens who are absolutely ignorant of their country's history.

The Dr. Ulimboka's incident and follow-up propagation of conspiracies has made JF the most victim. You will note the trend of increased new subscriptions and revival of old IDs all fostering the evil mission.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom