Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi, imetenga zaidi ya nusu ya bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2012/13 kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mji mpya wa kigamboni, Fedha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mpenzi sana wa kipindi cha Ze Komedi na ningependa wawe wanarusha kila siku ila wao wanarusha once in a week yaani alhamisi. Kwa siku ambazo hakuna ze comedy huwa naangalia Bunge ili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Saturday, Jul 14 2012 3AM 23°F 6AM 22°F 5-Day Forecast Bride who was ill for two years after being 'poisoned by toxic fish at five-star hotel' on honeymoon sues travel firm for hundreds of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna genge moja jijini DSM limejivika cheo cha jopo la viongozi wa kidini. Sii kweli kwamba watu hawa ni viongozi wa kidini bali ni genge la wajanja fulani ambao wamekuwa wakihaha kila kona ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepeleka cheki yangu NMB, aliyenilipa ana akaunti Barclays. Zimepita wiki 2 salio halisomeki. Haimaye nimeenda kuulizia wakabofya kompyuta na kuniambia kuwa nina elfu kumi tu kwenye akaunti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Labda tumechoka, tumeamua kubinafsisha hata jeshi. Zamani ilikuwa si rahisi kuingia kambi ya jeshi ukiwa na sifa za raia. Eti leo kwenye kambi za jeshi kunauzwa matrekta na powertillers, kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Napenda kuwajuza kuwa kumetokea ajali mbaya maeneo ya magomeni usalama ikihusisha pikipiki (bodaboda) na coaster ambapo dereva wa pikipiki na abiria wake wameumia vibaya. Dereva pikipiki...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Salaam WanaJF Taasisiya kiraia ya CPW (Citizen's Parliament Watch) Kesho itatoa matokeo ya Utafiti wake mwenendowa Viongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniakatika kusimamia jukumu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Nchini Kenya kuna aina nyingi za polisi. Kuna polisi mmoja anayesifika kwa kutunga muziki na kuimba akiwa na magwanda ya kazi. Juzi juzi ameibuka polisi mwingine aitwaye Isaiah Sakwa anayehubiri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama tulivyotarajia chama cha walimu CWT kimesitisha mgomo wa walimu ambao ulikuwa uanze wiki ijayo, lakini kwa kustajabisha mgomo umesitishwa. Je nini hatima ya matatizo ya walimu? Je walimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi all, I'm pleased to invite you into a meeting that can change your life into something you have never imagined. It's a two-hour free of charge meeting that will have you thank me a lot for...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba mwenye kufahamu anifahamishe. DC WA WILAYA YA HANDENI BW. MUHUNGO amepewa maagizo na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kapteni HONESTI ERNEST MWANOSSA kufuatilia na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi umeshawahi kujiuliza karibu matangazo yote na mengine muhimu kweli ni lazimwa watuwekee kwa njia ya nyimbo ukiangalia matangazo ya ukimwi,,vitambulisho..sasa yamekuja matangazo ya katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoenda ndani ya serikali na kujaribu kufikiria ni nini kitampata magufuli endapo atathubutu kulivunja jengo la tanesko pale ubungo. najiuliza au wanataka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau najuwa wengi mmeona ile blog ya ccm lakini ujaona blog ya cdm (m4c) japo naona bado ipo kwenye matengezo toa maoni yako click hapa www.movement4c.blogspot.com
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima, Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
MKUU HUWAnatafakari mateso aliyoyapata dr ulimboka moyo unauma sana ila najipa moyo kwa kujihoji dr ulimboka amebaki hai kwa mpango wa mungu ili se....li iache mchezo wake wa kuwatuliza wanao...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tulimlaumu sana Mkapa kwa kukiuka maadili ya uongozi na kujiuzia mgodi wa Kiwira. Aliitwa fisadi na kuzomewa hadi na watoto wadogo, na wengi hata tukitaka afikishwe mahakamani, na moto wa madai...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
source: Disable Windows Sidebar and Gadgets NOW on Vista and Windows 7. Microsoft warns of security risk | Naked Security Users of Windows Vista and Windows 7 have been advised to completely...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…