59% ya budget ya wizara ya ardhi hujenga kigamboni new city. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

59% ya budget ya wizara ya ardhi hujenga kigamboni new city.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domo Kaya, Jul 12, 2012.

 1. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi, imetenga zaidi ya nusu ya bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2012/13 kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mji mpya wa kigamboni, Fedha zilizotengwa kwa ajili ya kendeleza mji huo ni shs 60billioni ambazo ni sawa na asilimia 59 ya makadilio ya matumizi ya wizara hiyo ambyo ni shs 101.731.
   
 2. d

  dkilasara Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hivi huwa kuna vipaumbele katika wizard zetu au Kila anayekuja anaamua nini cha kufanya. Je hii ya mji wa kigamboni ipo kwenye mpango wa maendeleo wa 2025? Au mpango kabambe wa miaka mitano unaoisha 2017?. Just thinking aloud!!!!!
   
 3. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Mimi Nitashangaa sana kwa hilo!! Pia Nitamuona Huyu mama Waziri Kama Msaliti wa Watanzania!! Majiji / Jiji la Dar Karibia lote ni Unplanned!! na watu wanaishi kama Wanyama!! Kwa nini asingefanya Jitihada za kutenga hela ili Mji uweze Kupangwa na kuwezesha watu waweze kufika majumbani Kwao kwa kutumia barabara badala ya Vichochoro ambavyo hata baiskeli Haipiti?? Je ajali ya moto watu wataokolewa Vipi? Kweli Kupanga ni kuchagua na Mungu ametunyima uwezo wa kuchagua!! Eh Mungu Tubariki!!
   
Loading...