Serikali kukopesha vyombo vya usafiri madiwani.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Madiwani wanakaa madarakani miaka mitano tu,ni vizuri sana serikali imefikiri ikaona ni vizuri ikawakopesha usafiri maana yake wanakopesheka. Mfanyakazi aliye na mkataba wa kudumu na serikali ,ambaye anastaafu baada ya kulitumikia taifa kwa miaka takribani 30,baada ya kustaafu akiwa na umri wa miaka 60,hafikiriwi.Wafanyakazi wamekuwa wakilia kila siku mf. Walimu,wauguzi ,kukosekana kwa nyumba karibu na vituo vya kazi hivyo kuwafanya kuchelewa kazini.wafanyakazi wanaofanya kazi zaidi ya miaka 30,kwanini selikali isiwakumbuke inavyoonekana serikali inajali sana siasa.
 
Back
Top Bottom