Mtoto wa miaka 8 kileleni k'njaro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa miaka 8 kileleni k'njaro.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana kinyonga, Jul 13, 2012.

 1. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa naangalia habari cnn,wamemwonyesha dogo wa miaka 8 kilelen mlima kilimanjaro. Main aim wa to raise fund kwa watu wenye ulemavu.
  Source:Isha Sesay CNN
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kajitahidi sana, hongera zake.
   
 3. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  anahaki ya kufika maana kilimanjaro ya sasa sio ya miaka kumi iliyopita. Na kadiri miaka inavyozidi kwenda itazidiwa hata na kitonga.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Anastahili pongezi:
  [​IMG]
   
 5. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kumbe ni mdhungu...napita ntarudi baadaye
   
 6. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu hyo si kilimanjaro nliyopanda mie 2003, we nlikuwa na 17 lakn hali ilikuwa ngumu, kwanza hata baada ya kufika kilelen sikumbuki kati yetu kama kuna hata mmoja alikuwa anatabasam kwa jinc tulivyokuwa hoi, anyway hongera zake mtoto wa kizungu..................
   
 7. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hongera zake!
   
 8. R

  Richard Nguma Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DHAIFU Kilimanjaro
   
Loading...