Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
nimepita njia ya ubungo mpaka mwenge kunawanajeshi wa cheo cha Mp.cjajua wanasubr nin,mwenye taarifa atujuze
kwanini wasianze tu ukombozi?
Mi hii nchi siko mbali kuiasi!
Ngoja nifanye mipango south sudan!
Jamani napata wasiwasi mno humu ndani kua it has come to this level , someone is asking an important thing here, and needs to be informed but lijitu limekaa kujibu utumbo tu mara kilaza JK mara hiki,
Napata tabu kuamini Huko tunakokwenda Tanzania is gona be failed state if we continue accommodating this kind of people's around us...ni upuuzi kabisa watu humu hujifanya wajuaji sana na hawako objective,
Sasa inamaana gani mtu anataka kujibiwa wewe unaleta Siasa,
Si kawaida Hawa jamaa kukaa njiani tumezoea kuona traffic police sasa kuna watu mbali mbali wengine wanajeshi pengine wanajua waache wajitokeze watuhabarishe wewe hujui tulia unapungukiwa nini kukaa kimya ..
Taifa hili tunatengeneza kizazi kijinga endapo zile disadvantage za hizi forum ambazo hazitoi utambulisho halisi wa mtu,tukiwa sehemu kubwa ya mambo yetu yamejikita katika negativity....
Tujuzeni mnaojua .
Tena wewe ni mmoja wao wanaoipeleka JF pabaya! Kuna post moja Mwalim mmoja katoa matokeo yake ya form4(dvn 1),form6(dvtn 2 na 3.4gpa ya UNVST,Kukansha kuwa si Wote walio katika field hiyo ni wale walofeli, unakumbuka ulimjibu nini? kWAMBA YEYE NI TAHIRA! hufaii kabisa kuwa ktk jukwaa hili la Great thinkers! toa kibanzi katika jicho lako, ndipo utoe boriti katika jicho la mwenzio!
Oooh someone's balls just got pinched here!
si leo ndio ilikuwa madaktari waandamane au nilisikia vibaya

mmetoka sangapi mkuu,ilikuwa saa moja aksubuhi..Ubungo na Kunduchi wapi na wapi?Leo tumetoka kwenye mazoezi ya pamoja kunduchi
Itafahamika tu kova Ukovani unyama unyamani