nini kinamsibu william John Malecela? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini kinamsibu william John Malecela?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Jul 12, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia kwa karibu mwenendo wa rafiki yetu William John Malecela katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kushindwa kutoa hitimisho juu ya nini kinachomsibu kwa sasa. Nilimfahamu William kama msomi mzuri tena wa sayansi ya mambo ya bahari, kijana mwenye maono yanayolingana na ya baba yake mzee John Samwel Malecela ambaye sikuwa na shaka angefuata nyayo za uongozi kutoka kwa baba yake. Ninayoona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii siamini kama ni mambo yanayofanywa na william niliyemfahamu. William alikuwa New york city anafanya kazi nzuri sana inayompa mshahara si chini ya dola 10,000 kwa mwezi leo hii nakuja kusikia yuko hapa anazunguka tu na kupiga picha na vischana je nini hasa kimemtokea william? maoni yake mbalimbali humu JF yanaashiria ni kama mtu aliyekata tamaa je tufanyeje kumsaidia ndugu yetu huyu ili arudi kwenye hali yake ya kawaida? naongea kwa dhati na asitokee mtu hata mmoja kupinga hoja hii
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Huyo ni sikio la kufa!
   
 3. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  kama nimekufahamu vizuri umeona kuna kitu ndani yake kinacho msumbua na ndio maana anafanya mambo ya hovyo.Please anayejua assist
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Mwenye namba ya simu ya Harry Kitillya please........I can bet on my wife jamaa hajawahi kulipa PAYE tangu azaliwe
   
 5. wirunze01

  wirunze01 Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  William M,njoo utupe majibu.
   
 6. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ajiunge na ritz 1 waendelee kula rasilimali zetu,haumwi kitu ni laana tu za watanzania maskini waliochoka kunyonywa.
   
 7. M

  MTK JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Napinga 7X770, ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe! forum hii sio mahali pa kujadili watu, do not be a simple kind of person wanaojadili watu; Willy is a big boy to know what is good for him and vice versa; usijitukuze kiasi hicho hadi kutuzuia kupuuza vapour zako.
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  muulize pasco sikuhizi ndie msemaji wake!ana ndoto za kuwa waziri mkuu kama baba yake
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,611
  Trophy Points: 280
  Kodi inalipwa kule mtu alipo, kama uko US kodi amelipia huko huko!.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,611
  Trophy Points: 280
  Bongolala, tafadhali!, badilika kuwa bongoamka, utakuwa umenichanganya na mtu!
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Intusaidiaje sisi watanzania?
   
 13. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nashawishika kuhisi ma-baaria wenzake walimfanyia kitu ambacho si cha kawaida, ndio imepelekea mentally kuwa impaired... Kwa kweli si mzima kabisa kichwani...
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Pasco ni msemaji wa Lowasa na siyo msemaji wa Bongolala kama wewe William.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu ni kweli unayosema? je william amemuibia nani?
   
 16. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uboho( bone marrow) wako mzuri....kila siku JF inamjadili Kikwete je yeye si mtu?
   
 17. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tena Pasco hadi anamfungulia thread ili 'tumjadili'... Tamaa ya vibaasha inasumbua sana...
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu No fear, mimi sio msemaji wa Lowasa bali mimi ni mtetezi wa haki, El analaumiwa, kubezwa na kunyooshewa kidole kwa kujitolea kubeba pakacha la Richmond!, ni wachache kati yetu ambao tunaujua ukweli halisi, ambapo EL ni mchuuzi tuu wa hilo pakacha, mwenye pakacha lake yupo!. Mimi ni mtetezi wa EL kuwa judgement juu yake iwe juu ya uwezo wake (ability na capabilities) dhidi ya mwana CCM mwingine yoyote!. Napigia debe EL ndiye awe mgombea wa CCM kwa 2015, ili rais atoke Kaskazini, na tupate ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!. Nikasisitiza kama kosa la EL ni ufisadi, CCM wote ni mafisadi!
   
 19. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Mwezi mchanga huyo
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,611
  Trophy Points: 280
  Mtu anaishi US, pesa ameipata US, kodi ilipwe Tanzania ili iweje?.
  Diasphora ikishakuwa in place, tutaweza kupata angalau urari wa money transfer kuja home, kodi inakatwa huko huko fedha zinakotoka, msaada kwa Tanzania, utapimwa kwa jumla ya kiasi cha fedha as forex gain na chochote fedha hizo zitakafanyia nchini, zitakatwa 18% VAT kwenye expenditure hivyo serikali itapata kodi.
   
Loading...