WAZANZIBARI waanza kutimka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAZANZIBARI waanza kutimka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiba, Jul 14, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni kutokana na utoaji maoni ulioanza kushika kasi huko Zanzibar Unguja ,kinachoendelea ni kutaka serikali mbili kila moja na yake Tanganyika kwao na Zanzibar kwao ushirika uwepo ikiwa kutakuwepo na serikali ya Muungano ,Ilivyo maoni ni ya Katiba ya Muungano inamaanisha Muungano au serikali ya Muungano ni lazima iwepo ili hii katiba inayotolewa maoni iweze kufanya kazi.

  Hivyo basi WaZanzibari wamo kwenye maamuzi ya kizalendo wakidai uwepo wa nchi yao yenye mamlaka kamili ndani ya nchi na kimataifa. WaTanganyika fursa ni hii kwa upande wenu idaini Tanganyika iwepo na yenye mamlaka kamili ,la kama mtang'ang'ania iwepo serikali ya Muungano tu bila ya Tanganyika ,nawahakikishia CCM iyawatawala milele.
   
 2. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu sijui ni ubongo wangu unashindwa ku grasp meaning ya ulichokisema ama ni wewe umetumia sentensi zisizoleta maana yaani hata ukiunganisha mistari kupati maana bado. hebu edit and put it in a meaningful way inawezekana hoja ikawa nzuri sana hii tuijadili.
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Unajua ukitumia simu huwa kidogo inakuwa ngumu kuandika vizuri.Pamoja na hayo mikidogo nimempata alicho maanisha. Anasema wazenj wanarudi zenj kutoa maoni yao ya kutaka Zanzibar iwe dola kamili.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwani kuna limit ya idadi ya watoa maoni ili jambo lao likubaliwe?
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo mimi hizi huwa kwenye mfumo wa wengi wape , kwahiyo zikifikia zaidi ya 50% ya watoa maoni maana yake ndio wamekubali.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Lakini Habari yako haiongelei kichwa cha habari WAZANZIBARI waanza kutimka; Sijui

  unaongelea nini...

  Dar pekee wako 350,00 wakitimka wataikijaza hicho kisiwa na kuzama...
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Uko kwenye tume au??


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Boss! Sisi hatuutaki muungano kabisa kwa sababu tumewachoka tokeniiiiii! Yaani bado mpo kha!
   
 9. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mwiba ni kundi la uamsho ... period
   
 10. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  aliyeleta hii sred ni kanyabwoya!
   
Loading...