Hivi kusema walimu ni wengi kuliko wafanyakazi wengine ni sahihi na kuwanyima mishahara mizuri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kusema walimu ni wengi kuliko wafanyakazi wengine ni sahihi na kuwanyima mishahara mizuri.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by augustino ameri, Jul 14, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi nafikiri inaposemwa kuwa serikali ya TZ,Inawafanyakazi 300,000.inamaana kuwa nao wamo sasa kuwambia wapo wengi maana yake nini?hawana umuhimu HAWANA MAJUKUMU,au vipi? Basi wapunguzwe wabaki wachache,haya maneno yanasemwa sana na viongozi hasa CWT.HAYA NI MANENO YA KUMRITHISHA MJINGA ILI ABAKI KAMA ALIVYO HUKU KICHWANI KABEBA ZIGO KUBWA NA MFUKONI HANA KITU.kuwa wengi maana yake kuna kazi nyingi wangekuwa hawana kazi wangepunguzwa wabaki wachach wanaohitajika.
   
Loading...