.Nguvu ya Chadema yazidisha kiwewe Hanang
.Pikipiki zaandaliwa kugawiwa katika kata zote
.Vita ya urais 2015 nayo yahusishwa
WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, ameanza kupata vikwazo...
Magazeti mengi ya leo 19/07/2012 yametoa taarifa ya iadadi ya abiria waliokuwemo kwenye meli, wanaohofiwa kufa, maiti zilizopatikana, waliookolewa, na ambao hawajaonekana. Cha kushangaza takwimu...
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii...
Al-Haji sipendi kuichanganya kazi yako na imani yako ya kidini,ila licha ya kuwa wewe ni kamanda,pia vilevile wewe ni al-haji,mtu ambaye ulifanya ibada ya kwenda kuhiji mahala patakatifu(kwa imani...
Kulingana na idadi ya abiria waliokuwa katika meli iliyozama kubadilikabadilika je idadi kamili ni ipi ikiwa meli yenyewe haina hata ofisi je idadi itapatikania wapi?au ndiyo mambo ya changa la macho?
Nimesikiliza Channel Ten wamewahoji maafisa walioenda kusaidia uokoaji katika meli ya Mv Skagit wanasema walikuwa wanavizia wajeruhi na maiti waliokuwa wanaelea majini. HAKUNA MZAMIAJI hata mmoja...
Hivi makachero,usalama wa taifa,mawaziri na wengine wote wanaoiongoza tanzania wanajisikiaje kuona au kusikia wananchi wanavyoitaja kuhusiana na mabwepande?
Awamu ya kwanza ya Mabomu ya JWTZ yalianzia Mbagala, yakaua Watanzania takriban 33!
Awamu ya pili yakafuatia GongolaMboto, yakaua waTanzania wasiopungua 25.
Awamu ya kwanza Meli ya MV SPICE...
Duh nchi hii ina vichekesho sana eti leo mamlaka ya usafiri wamefanya ukaguzi wa boti zilizopo ziwa Tanganyika na kubaili ambazo hazina maboya hivi hadi watu wafe ndo ukaguzi ufanyike jamani???
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekuwa kawaida kwa waasi kujiita majina tofautitofauti mfano Maimai,Banyamulenge n.k!Sasa wengine wameibuka;wanajiita RAIA MTOMBOKI.
ni kundi la waandishi wa habari kutoka Nje ya nchi na watz bara wakiona umuhimu wa maelezo wa mmoja wa viongozi wakuu wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar hapo Malindi. Kabla ya tukio hili. badhi ya...
Incredible transformation of the Chinese mother left horrifically disfigured by 70 tumours growing on her face after doctors carried out surgery for free
Li Hongfang, 40, was shunned in...
Kutokana na Mwamko wa watu kutaka kujiandikisha kwenye dafutari la wapiga kura siku yoyote itakayotanganzwa. Naona kama serikari-CCM watatumia njia ya ili uandikishwe lazima uwe na Kitambulisho...
Watu Wanne walikamatwa na Sungu Sungu Maeneo ya Lupa Chunya kwa Makosa Mbali mbali na kupelekwa Mstinu na kuteswa vibaya na kuwatelekeza wakiwa hoi.
Taarifa zinaonyesha kuwa watu hao...
JAMANI serikali yetu kweli hamnazo, mpaka sasa naandika kwenye ukurasa huu maiti za ajali ya meli Zanzibar bado zinaelea majini, kwa mujibu wa waokoaji wanaitupia lawama serikali kwa kushidwa...
WanaJF wenzangu napata shida kidogo juu ya tafsri ya hili neno maombolezo.Hivi inaingia akilini taifa kusitisha shughuli zake muhimu kama Bunge na kutangaza kuwa taifa linaomboleza juu ya msiba...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika
katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata...
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata...