Chadema: Yala njama dhidi ya serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Straight, Jul 18, 2012.

 1. S

  Straight JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
  Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...
   
 2. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,094
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa, manake hata wale manahodha wa meli ile walivaa magwanda ya CHADEMA.
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  kweli kuna watu hamnazo duniani
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  CDM wamenza asubuhi ambapo wamesababisha ndege ya ATCL ivunjike dirisha la kioo cha upande wa kushoto wa rubani. Ndege hiyo ilitoka Dar kwenda Mwanza via KIA. Matokeo yake ikabidi iwe grounded palepale KIA leo hii asubuhi. Tunahisi chama hiki kina mahusiano ya moja kwa moja na Ali-Shababu.
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hata mie nimekata tiketi kibao na abiria wengi walikua wamevaa magwanda
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hatuhamii huko kwenye hiyo topiki mpya unayotutafuta kinguvu nguvu kuingilia bila kwanza kujua swala Dr Ulimboka.
   
 7. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,778
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  nahodha ni mkenya
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Pia CDM tokea asubuhi inaleta upepo mkali sana hichi ni Chama cha kikanda kabisa
   
 9. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  chadema inasababisha machafuko!kwi kwi kwi!serikali dhaifu!
   
 10. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  meli ya mwaka 1984 mpaka leo hii inafanya kazi unategea nini mbona kuku anakushinda akili akiona giza linaingia anajua ni usiku anajongea ndani. ndege za ATCL ni mbovu nani hilo halijui? mmekodisha ndege mbovu mnategemea nini? hamtaki kufanya service ndege eti hamna hela mnategemea nini? acha upumbavu wenu usiyo na maana. mpaka upepo unauvuma baharini eti umesababishwa na chadema, duuh hii kali sasa. acheni kufukuza upepo na kivikimbia vivuli vyenu.
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kuna upepo unaitwa kaskazi huu upepo unashabihiana na chadema kabisa.
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  .......tena mwendawazimu
   
 13. M

  MpendaCHADEMA Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona mnatapika.....ungetakiwa uwe kwenye ihiyo meli. sio tu wamekula njama na nyama pia! mlichoma makanisa na kunywa viroba vya watu mkafikiri mtakua salama.....hapo bado.
   
 14. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Awa awa chadema si ndo walimteka ulimboka kweli chadema noma mnafanya mzee wa kaya kutopata usingizi atujakaa sawa wakamteka tena mwanasheria nemc alafu nasikia kuna mpango mwingine wa kumteka mzee wa kaya
   
 15. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Dah!Sina la kusema,nitarudi baadae
   
 16. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nahodha aende akatubu kwa Nabii na Mtume Mkuu, Mwashamu Askofu Gwajima kule Kawe haraka juu ya hili ili kuturahisishia uchunguzi mzima hapa ila ofisi za jahazi hili nimesikia kwamba ni pale pale tu pa siku zote Magogoni kama kawaida.

   
 17. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  naona ccm mumeamua kutoa kafari baada ya kuona upepo huendi vizuri
   
 18. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  teh teh teh,basi hata nyerere nae aliuwawa na chadema,nyambaaaaaaf,ushenz ushenz tu kupoteza malengo
   
 19. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Awa awa chadema si ndo walimteka ulimboka kweli chadema noma mnafanya mzee wa kaya kutopata usingizi atujakaa sawa wakamteka tena mwanasheria nemc alafu nasikia kuna mpango mwingine wa kumteka mzee wa kaya
   
 20. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kakojoe, ulale!, kafara zenu na kutokuwa makini kusimamia vyombo vya usafiri, msiisingizie Chadema, kagueni vyombo vya usafiri vizuri, angalieni hali ya hewa na ubora wa vyombo ndio mviruhusu kufanya safari
   
Loading...