Nshomile akisifiwa! Anaongeza...!

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
huwa kuna utamu wake katk
kujibu
Utasikia...
RAFIKI: aisee kabila lenu mna
akili sana RUGAIMUKAMU: ofukoz, kwani
hukumbuki kipindi kire tukiwa
wingereza na akina blackberry
rweyemamu, iPod ruganyizi,
screen-touch rwezaura,
facebook rwekaza, message sent kokusima na vokswargen
rugangira tulikuwa tunaongoza
sana kwa kufauru darasani
JIRANI: rugaimukamu leo
umependeza
RUGAIMUKAMU: mh infwact ungeniona jana je?
MWALIMU: mwanao ana akili
sana darasani
RUGAIMUKAMU: actuare mimi
bado hajaniimpress kabisa, he
is not siriasi kwakweri

Mbona mnapenda kutuchokoza?

Hamtaki kukubali kuwa tuna akili na tupo vizuri kichapaa?

Wahaya waachen jaman ila ka kusoma wamesoma kwel chek maprofesa kama tibaijuka, mkandala nk

Wahaya waachen jaman ila ka kusoma wamesoma kwel chek maprofesa kama tibaijuka, mkandala nk

UWIIIIIIIIII! hawa sijui ni watanzania wa wapi, kila kitu ni misifa na kujipendelea kwa kuwadhulumu wengine. Ktk chuo ninachofundisha tulimpata mama wa kihaya kama PRINCIPAL Wahaya wote wa mjini wakafanya chuo kama shamba la bibi, mkufunzi wa kawaida ambaye siyo mhaya huwezi kupata huduma ofisini kwani muda wote anapiga stori na wahaya wenzake bila kusahau foleni ndefu ya wanafunzzi wa kihaya wasiopungua ofisini kwake. Na lugha kuu pale ni kihaya. Mbaya zaidi ile sura ya kitaifa chuoni imepotea kabisa,  80% ni wanachuo wa kihaya na si kwa sifa bali kwa kubebwa. mbaya kupitiliza, akifeli mwanachuo ambaye sio mhaya mwongozo wa chuo unafuatwa lakini akifeli mhaya tena kwa haki kabisa, utasikia oooh mimi mlezi wake ooooo kwake kagera mbali sana arisiti kabla ya matokeo kutoka n amengine mengi hawa jamaa hatari kweli kweli hafu huyu mama namwoneaga huruma kwa utumwa wa kikabila alio nao akifeli mhaya tu hapo ofisini siku hiyo wageni na simu zote zinakuwa ni za wahaya za kumlumu kwa kumfelisha wa nyumbani. utasikia unamflisha mwanao aende wapi jamani.

Aha aha! Nimemkumbuka yule kamanda aliestaafu DAR kabla ya KOVA sijui ndo TIBAIGANA kwakeli alikua ananifurahisha sana na mothertang yake...akchware alikua anatumia bongo sio km huyu KOVA ambae hatumii logic ata chembe...mh hawa jamaa infact ndo wamenifundisha sana nadhani wanapenda sana ualimu yani vyuo vikuu wamejaa na wapo diiiiipu kwani ni wabishi wewe hawakubali kabisa kutoelewa kitu yani kunatofauti sana na Dr wengine...M2 km Dr Exavel Rwaitama yani somo utalipenda tu

UWIIIIIIIIII! hawa sijui ni watanzania wa wapi, kila kitu ni misifa na kujipendelea kwa kuwadhulumu wengine. Ktk chuo ninachofundisha tulimpata mama wa kihaya kama PRINCIPAL Wahaya wote wa mjini wakafanya chuo kama shamba la bibi, mkufunzi wa kawaida ambaye siyo mhaya huwezi kupata huduma ofisini kwani muda wote anapiga stori na wahaya wenzake bila kusahau foleni ndefu ya wanafunzzi wa kihaya wasiopungua ofisini kwake. Na lugha kuu pale ni kihaya. Mbaya zaidi ile sura ya kitaifa chuoni imepotea kabisa,  80% ni wanachuo wa kihaya na si kwa sifa bali kwa kubebwa. mbaya kupitiliza, akifeli mwanachuo ambaye sio mhaya mwongozo wa chuo unafuatwa lakini akifeli mhaya tena kwa haki kabisa, utasikia oooh mimi mlezi wake ooooo kwake kagera mbali sana arisiti kabla ya matokeo kutoka n amengine mengi hawa jamaa hatari kweli kweli hafu huyu mama namwoneaga huruma kwa utumwa wa kikabila alio nao akifeli mhaya tu hapo ofisini siku hiyo wageni na simu zote zinakuwa ni za wahaya za kumlumu kwa kumfelisha wa nyumbani. utasikia unamflisha mwanao aende wapi jamani.

Chuo gani hicho mkuu. Mbona imekaa ki wivu wivu?

Ukiona watu wanashikilia ukabila jua wamefilisika kama siyo kufulia. Kama kuna wanaojiita wasomi Afrika kwanini bado tunaombaomba na kuibiwa tunaona? Msomi niliyemjua alikuwa Julius Kambarage Nyerere wengine wote hovyo.

Wakati wanyamwezi, waha na wanyalu wanakata mkonge Tanga,
Wachagga, wahaya wanyakyusa walikuwa darasani,
Maeneo yanayo otesha kahawa ndiko shule ziliko anza,

Wanyiramba, wahehe na warangi wamekuwa wakisupply Ma house girl siku zote,
sasa hivi meza imeanza kugeuka.

Maeneo yaliyokuwa na idadi kubwa ya vijana shuleni miaka ya 50 leo yanaongoza kwa wasomi.
30 years from now utashangaa PhD nyingi zinatoka Iringa, Kondoa, Tabora, Shinyanga, Kigoma
Sasa hivi mikoa iliyokuwa nyuma kielimu ndiyo yenye walimu wengi wa sekondari kuliko mikoa mingine yote.

Wahaya, wachagga sasa hivi wanajikita zaidi katika biashara na utapeli
suala kwamba kabila fulani wana akili si sahihi.

Similar Discussions

Back
Top Bottom