Bongo bila maandamano migomo na kelele hakiend..

Swae24

Member
Mar 23, 2012
45
1
Kuna hili suala la mikopo kwa wanafunzi,inashangaza sana wanafunzi wanafanya field kwa hali ngumu mfano SAUT Mwanza,xaxa inakuwaje vyuo vingine vinapewa allowance halafu vingine vinayumbishwa......au sababu saut ni chuo cha mtakatifu na hawajazoea kelele ama maandamano?...au kuwa bali na ofisi za bodi?na pengine kuna watu wanatafuta umaarufu kwenye suala hili? binafsi sijawa bado na jibu la uhakika.
 
Endeleeni na utakatifu wenu, nyie mnadhani kila siku ni jumamosi.....itakula kwenu.
 
Back
Top Bottom