Tulio ibiwa kwenye nguzo za umeme,serekali inatusaidiaje??

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Nguzo mbili nililipa milioni mbili na laki saba tena kijijini nikafungiwa umeme baada ya miezi sita.juzi waziri mpya katangaza bei halali ya nguzo,sasa swali langu ni je,serikali inalichukuliaje hilo suala au ndio tumeshadhulumiwa?kama serikali inadhulumu watu wake badala ya kuwalinda huo uzalendo tunaoambiwa na kuhubiriwa kilasiku ntautoa wapi?nchemba anasema utaifa kwanza,nape uzalendo kwa staili hii kweli huo uzalendo utatoka wapi?waziri muhongo kama unapitaga huku naomba msaada wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom