Hatimaye Pemba, Unguja wajisalimisha kwa SUMATRA

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,267
4,715
Nimeiona hii kule BBCSWAHILi kuwa serikali sasa imetoa baraka kwa sumatra kufanya ukaguzi wa vyombo vya usafiri kule zanzibar na tayari meli tatu zimekwisha simamishwa kutokana na kutokuwa na sifa,

maoni: baada ya roho nyingi kuteketea ndo wametoka usingizini, inasikitisha mno.
 
Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU
 
nimeiona hii kule bbcswahili kuwa serikali sasa imetoa baraka kwa sumatra kufanya ukaguzi wa vyombo vya usafiri kule zanzibar na tayari meli tatu zimekwisha simamishwa kutokana na kutokuwa na sifa,

maoni: Baada ya roho nyingi kuteketea ndo wametoka usingizini, inasikitisha mno.

mZgo wa mjinga huishia began wakat wanaitimua ubongo wao ulikuwaje? Mtfck
 
Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU

Hapana, Serkal ya zenj ilikuwa imepga MARUFUKU SUMTRA Kuwa na mandate mpaka Kule, Walsema hawawatambui kama Non unioun matter
 
Lakini si waliwafukuza kwa mbwembwe tena wakawapiga marufuku kuonekana visiwani vipi leo tena wanawakarisha kwa zuria jekundu?
 
Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU

Wewe nawe! Meli huwa inasajiliwa mara mbili? Tanzania Bara waliikataa kuisajili Zanzibar wakaona Wanaonewa wakaisajili kuwaleta Wazanzibar Bara na Kuwarudisha na Watanzania Wachache ambao hawakujua Mambo ya Usajili ilimradi wameona Meli wao wanapanda..

Serikali ya Zanzibar imekiri kuwa Iliisajili baada ya Kukataliwa na Sumatra Bara.
 
Hapo sasa nimepata Mwanga na kama jamaa wamekiri hivyo siyo mbaya na hiyo haimaanishi kama SUMATRA ni wasafi kihivyo.
 
Hapana, Serkal ya zenj ilikuwa imepga MARUFUKU SUMTRA Kuwa na mandate mpaka Kule, Walsema hawawatambui kama Non unioun matter

Sawa sawa mie naona kuna vitu vingine havina umuhimu kutoaminiana sasa matokeo yake ndo hayo ya kuwa na Regulatory bodies mbili.
 
Hapo sasa nimepata Mwanga na kama jamaa wamekiri hivyo siyo mbaya na hiyo haimaanishi kama SUMATRA ni wasafi kihivyo.

naaendelea kustaajab, kuwa meli inatia nanga kwenye eneo la mamlaka ya sumatra na kuchukua abiria huku haina hata life jackets?!
 
Huu ni wendawazimu kwani hizo Meli zilikua haziji Tanzania Bara...? Ina maana SUMATRA walikua hawana uwezo wa kuzikagua hapo awali sababu zilikua zinabeba Raia wa Bara na Visiwani na Pia zina tumia Bandari yetu ya Daslam.
MBONA
SIIELEWI HIYO MIJITU
tatizo ukigusa kitu walicho pitisha wao wanasema tunawabana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom