Mkutano wa chadema ifakara leo, mh Suzane Kiwanga na mh Kasulumbai.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa chadema ifakara leo, mh Suzane Kiwanga na mh Kasulumbai..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ziroseventytwo, Jul 29, 2012.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,515
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Suzane ndo kakamata mic kwa sasa, anasema pesa zinazotolewa na serekali kuu kwa ajili ya maendeleo ya mikoa, mkoa wa morogoro ndo unapata mgao mdogo wakati unachukua 8% ya ardhi yote ya tz. Data anazo,anatusomea...operation sangara itaanza rasmi mkoani hapa trh 4 august
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Weka picha mkuu
   
 3. k

  kamoja Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka picha tafadhali mkuu
   
Loading...