Baada ya bodi ya Tanesco kumsimamisha mkugenzi wa shirika hilo la umma kwa tuhuma za ufizadi Zitto Kabwa alijitokeza hadharani kupinga hatua hiyo, na tangu wakati huo vyombo vingi vya habari...
Wakuu leo tarehe 30-7-2012 tunamaliza mwezi wa pili ukaranati wa shimo hilo haujakamilika. Ukarabati huo ni kero kwani unasababisha foleni kubwa isiyo ya lazima!
Wakuu namuomba Dr Slaa arudi kazini na aokoe hili jahazi. gafla nahisi chama kimepoa mno. Mbowe hasikiki, Slaa nadhani mambo ya ndoa yalikuwa yanamaliza mda na sasa yameisha arudi,. Mambo ya...
kwa taarifa nlizo nazo leo kipindi cha sa mbili na nusu watakuwepo wadau wakichambua sheria mpya inayokataka withdraw benefit, wadau mpige simu kuchangia
source Chanel Ten.
pia story hii na zingine zinazohusu tourism, wildlife na african culture
visit
www.facebook.com/africantourism
Facts and photos about Africa's most dangerous animals (defined as any living thing)...
Sijui Nani katuloga.
Hata kuku anatushinda, kuku ukimvunja mguu kwa kula mahindi uliyoyaanika juani, baada ya dk chache hurudi pale pale kuendelea kula.
Au haya mavyakula ya kisasa yanapunguza...
Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ameanza kufumua uozo mkubwa unaoitafuna Ngorongoro Conservation Area Authority.
Account binafsi...
JUMATATU, JULAI 30, 2012 05:03 NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA
*Atakiwa kutaja wabunge waliohusika
*NCCR Mageuzi yampatia wiki moja
*Watuhumiwa hatarini kupoteza ubunge wao
*January Makamba...
wapo wabunge/madiwani wa darasa la saba,pia wapo wanaoongoza maeneo madogo kama mitaa pia wapo wenye maeneo kama kata,wapo wenye maeneo kama nchi ya Rwanda.Wengine kutembelea maeneo yao ni robo...
Bei ya mafuta ya zabuni ya kampuni ya PUMA ni Shs.1,460/= kwa lita moja,huku mtaani tunauziwa si chini ya Shs.2,000/= kwa lita,hivi hii Serikali yetu jamani inatujali na kututhamini kweli,mbona...
Kumeibuka biashara jijini DSM ya kila kona ya jiji kuwashwa moto na kukaanga chips mitaani. Wauza chips na mishikaki hawa hawafahamiki nani kawawapa kibali bila ya kufahamu kama afya zao na...
Tunamshukuru Mungu kwa kutuweka hai. Wiki iliyopita swali langu limeleta gumzo na maneno ya jaziba na matusi dhidi yangu kwa baadhi ya watu waliodhani kuwa Mimi ni mpinzani wa dini ya kiislamu...
Nimetafiti juu ya hawa jamaa,nikajiuliza maswali mengi sana hawajamaa wanapokuwa depo hupewa na mafunzo ya ufugaji wa BATA, Maana kila unapopita katika kambi zao kila askari anakabwawa na mibata...
Inawezekana kuna aina fulani ya maisha tunaanza kuzoeshwa Watanzania, ni aina ya hakuna itakachowezekana bila migomo na maandamano. Maisha ya sasa yamekuwa hata wanafunzi wa chekechea huandamana...
Shule zote za st.wanafunzi na walimu wako kazini kama kawaida alakini za kinakayumba mambo sio shwari kabisa.nikweli na nidhahiri kua hakuna mbunge au kiongozi yeyote wa siasa hakuna mwanae...
Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo...
licha ya vibwanga,vituko na mambo yote ya aibu juu ya hawa jamaa bado mwaka 2015 posters mtaani zitasomeka chagua lusinde.
CCM Wabishi na wagumu kusoma alama za nyakati.. Watanzania wagumu...