Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ndg watanzania wenzangu hii rushwa ivi chanzo chake hasa nn?Sasa imeanza kuingia hadi kwenye chama ninachokipenda nadhani wote mnakijua ambacho kimeibua mambo mengi sana wengi wetu tulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ROSE HAJI Dhahabu ya kale isiyofubaa katika tasnia ya habari Send to a friend Sunday, 29 July 2012 13:22 Florence Majani WENYE hekima waliwahi kusema kuwa, “Dhahabu haiwezi kung’aa, hadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Global Peace Index Rankings ambao hutoa orodha ya nchi zenye amani dunia kila mwaka kwa nchi zote duniani. Kwa mwaka huu 2012 Botswana ndiyo nchi inayoongoza kwa amani barani Afrika ikiwa ni ya 31...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nakumbuka wakati mfumo wa vyama vingi unaruhusiwa hapa Tanzania njia kuu ya mawasiliano ya kupata taarifa muhimu za vyama ilikuwa ni magazeti moja ya magazeti mahiri kwa wakati huu yalikuwa ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
TO ALL PARENTS, PARENTS TO BE, GRAND PARENTS AND GRAND PARENTS TO BE. Appreciate your maids otherwise you will find her gone and your baby is left by the tree!!!!
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Kuna habari kuwa gari limetumbukia Lilipokuwa likiwahi Ferry iliyokuwa imeanza kuaondoka
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Hawa jamaa walijitangaza hapa sana week kama tatu ,,,ni matapeli sana,,niliwapigia kwenye no zao walizotoa hapa,,kila ukipiga haipatikani.Ikipatikana au akipokea anakusikiliza ,,akishajua shida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mm nimeajiriwa mkoa mpya Geita pale DED kama Mwalimu. Nikataka kufungua akaunt ya mshahara NMB wakadai wanawateja wengi nibahatishe kungine ndipo nika submitt akaunt yangu ya CRDB. Tatizo linakuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In the dark basement of the cavernous Kariakoo market, dozens of traders gather at tiny makeshift stalls, arranging fruit and vegetables into neat piles. This part of the market has the least...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
ni utaratibu ambao ulijiwekea kuongea na wananchi wako?ni ka njia ulikokaweka kuelezea mambo mbalimbali yanayolikumba taifa..alianza kwa mbwembwe mchakato wa kutoa hotuba kila mwisho wa mwezi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimemwona mkurugenzi wa tanapa akielezezea ama kutuhimiza watanzania juu ya faida tuzipatazo kutokana na vifutio vya utalii tulivyo navyo paamoja na kuelezea malengo mpango wa TANAPA kukuza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wakandamizi wa fedha zetu eti wanatutuliza kwa muda wa miezi sita,taarifa kamili hii hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge: Mheshimiwa Spika, kabla sijachangia hoja nilikuwa na pendekezo moja tu, mnaonaje mngechagua na Kipaza Sauti Kimoja ili visaidiane na Spika? Maana hizi spika za sasa zimeharibu bunge...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
tarehe 31/7/2012,wafanya kazi wa mgod wa dhahabu wa bulyanhulu walisita kuingia shimoni kwa hili mi nawapongeza,na pia wale walimu walio goma kuingia kazin pia nawapongeza kwani vilio vya wahanga...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Binafsi sielewi kwa nini ajira ni chungu kwa sasa: Kodi anazolipa mwajiriwa ni kubwa kubwa mno kuliko watu wengine Pensheni ni ya kulazimishana Mishahara midogo Kugoma sio haki tena Foleni nayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwakuwa sasa imekuwa ni system napendekeza na wananchi kuwa na mgomo usiokuwa na kikomo mpaka pale huduma muhimu za kibinadamu zitakapoboreshwa na kuturithisha ambazo ni sekta ya afya kila sehemu...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
WARSAW, Poland - A Mitt Romney spokesman reprimanded reporters traveling with the candidate on his six-day foreign trip, telling them to "kiss my a**" after they shouted questions from behind a...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Baada ya bodi ya Tanesco kumsimamisha mkugenzi wa shirika hilo la umma kwa tuhuma za ufizadi Zitto Kabwa alijitokeza hadharani kupinga hatua hiyo, na tangu wakati huo vyombo vingi vya habari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu leo tarehe 30-7-2012 tunamaliza mwezi wa pili ukaranati wa shimo hilo haujakamilika. Ukarabati huo ni kero kwani unasababisha foleni kubwa isiyo ya lazima!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…