Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana jamii, Juzi nilienda kulipia road licence ya gari langu, cha kushangaza nikaambiwa nilipie na fire extinguisher Tzs 35,000 cha ajabu nilipatiwa sticker pasipo kuwa na mtungi, kwanza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
MALENGO YA UJIO 1. To swipe at China, which eclipsed the US as Africa's biggest trading partner three years ago. 2. To stand up for democracy and universal human rights even when it might be...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali ya kikwete inachoongea na kutenda ni vitu viwili tofauti yee mwenyewe jana kaongea kizaramo kuthibitisha hilo kwani mpaka leo tarehe 2 august salary bado kwa watumishi wake japo alisema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo wakati unachangia hoja ya Mh. Mwakyembe, ulisema kuwa katika hotuba yake hakutaja mahali popote ambapo alitaje ajali ya MV Skagit na kutoa pole kwa wahanga. Mbunge mwenzako akatoa preliminary...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Maonyesho ya kilimo Al maarufu Nane Nane kitaifa yalifunguliwa jana huko Dodoma na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, na yale ya kanda ya Mashariki yalifunguliwa na Waziri Mkuu. Sisi wakulima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu hii imekaaje? Nimelisikia Jembe linalalamika kwamba halina mamlaka na madaraka na mambo ya uchukuzi kule visiwani. Hivi hii Wizara ni ya Muungano au kila nchi ni mwake? Ndo maana jamaa...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Kwa mtizamo wa bunge la sasa ambalo wabunge wengi wameamua kuingia likizo ya kufikiri, sasa uwaziri ni mteremko kabisa. Hata kama kuna mambo ya msingi ya kujadili yanayoweza kujadiliwa, wazili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumeshuhudia utawala wa sasa ukitumia vyombo vya dola kama nyenzo na matokeo yake wote mmeona. Nchi imekuwa ngumu kutawalika, ufisadi umeongezeka, rushwa hadi bungeni!!! Uchaguzi uliopita ulimleta...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo tujihoji wadau, umewahi mara ngapi kulihujumu shirika la Usambazaji umeme Tanzania (TANESCO), kwa kuleta vishoka nyumbani literally (fundi tanesco) kuibana mita ipunguze mwendo? Kuweka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kikwete asisitiza Serikali kutompiga Dk. Ulimboka na Mwandishi wetu RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuyapuuza na kukana madai yanayoihusisha serikali yake na tukio la kutekwa...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Hivi kupitia vitambulisho vya urai huwezi kujua idadi ya watu wako katika nchi? Kuna sababu gani ya vyote kufanyika ktk mwaka mmoja?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu wengi huingia kwenye migomo mbalimbali kwa kukurupuka na matokeo yake ni kushindwa kufikia malengo yao.Watanzania wengi hasa walio kwenye ajira hutegemea mishahara na posho ambapo hawana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mchoraji wa katuni za kipanya kwenye gazeti la mwananchi MASOUD KIPANYA ametunukiwa tuzo ya vitendea kazi ambayo amezawadiwa na kampuni ya simu za mkononi ya VODACOM,ambapo kipanya amepata tuzo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
MAONI KUSINI PEMBA (updates)Written by Ahmed Omar Khamis // 02/08/2012 // Habari // 2 Comments S/N TAREHE SHEHIA SER 1 SER2 SER3 MKATABA WAPUMUE WASOFAHAMIKA 1 17/7 Chachani/ msingini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanasiasa Mkongwe Mzee Hassan Nassor Moyo azungumza na waandishi leo -Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akimkaribisha Mwanasiasa Mkongwe Hassana Nassor Moyo kuzungumza na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasaidie wapiga picha wako wa ITV mikoani hata kajiposho, hii niaibu kwako wewe wamekuwa wakitegemea vijiposho vya mikutano, imefikia hata sasa wengine kushindwa kulipa hata kodi ya nyumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna meli inayofanya shughuli za usafirishaji WA abiria ktk ziwa Tanganyika tangu Enzi za mjerumani. ILA mi napata wasiwasi WA kuendelea kujivunia na history hii. I think this is not safe kwani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu,kama mtu akipora simu tunamshambulia kwa nawe,marungu na hata kumchoma moto kwa Sababu ya hasira na kutokuwa na imani na jeshi la polisi...naomba tuungane katika kampeni hii,kila...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), imesisitiza kwamba upimaji wa afya wa vijana wanaotaka kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hufanyika mara mbili na hakuna...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Najina ya watu walioomba nafasi za sensa majina yao yamebandikwa leo sehemu mbalimbali ninataarifa za mpwapwa huku walimu wamepata wachache sana esp wa sekondari sijui ndo tunakomolewa na mgomo au...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…