Kati ya hawa yupi bora zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya hawa yupi bora zaidi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JIULIZE KWANZA, Aug 2, 2012.

 1. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF.

  Embu tujadili kidogo kuhusu watu hawa endapo watapewa dhamana na vyama vyao kugombea urais 2015 utampa nani kura yako na kwanini?
  1. CDM zito Kabwe
  2. CCM Lowasa
  3. CUF Lipumba
  Naomba tujadili msinitukane wala kukejeli Kama huwezi kuchangia basi bora uache kwani ni mjadala na Hakuna anaejua atakae gombea ni nani mpaka halmashauri zao zitakapo wateua, nimeweka vyama vitatu kwani Ndio vyenye muelekeo kisiasa.

  Tujadili*
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Bo* ra lipumba!
   
 3. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatuja mjaribu hata ubunge je Kama hafai kabisa?
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  zitto ndie rais 2015 watake wasitake hapa watakaa2.naona wameshindwa kwa mbinu zao mbovu za kumchafua zitto
   
 5. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tehe Tehe Tehe 1st lady Wacha kutangaza matokeo kabla ya cc ya cdm sema akipendekezwa Ndio utakae mchagua na ueleze kwanini anakufaa? Habari za toka Jana kwema?
   
 6. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ungeweka jiwe ningechagua jiwe sababu wote Hao hawafai
   
 7. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ina maana hata mwizi mchapakazi hafai? Tehe Tehe umeniua mbavu mkuu
   
 8. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ina maana hata mwizi mchapakazi hafai? Tehe Tehe umeniua mbavu mkuu
   
 9. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  mi nimeshindwa kaka bora niangalie movie
   
 10. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We utashindanishaje jembe kama Lowasa na mvulana kama zito? Umasanini tunasema uataka kulinganisha Layoni na Laigwanani. Hilo ni tusi kubwa sana.
   
 11. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,612
  Likes Received: 2,041
  Trophy Points: 280
  Uraisi ni taasisi na ili uwe kiongozi mzuri unatakiwa uhakikishe kila mtu katika kitengo au wizara anayopangiwa anafanya kazi kwa kufuata miongozo na kanuni bila kuingiliwa na anaingiliwa katika majukumu yake pale anapoonekana amepwaya si kama wafanyavyo sas
   
 12. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lowassa ama Mbowe (ingawa ujamuweka) with the current political weather a feared person who demands respect from his surbodinates is needed. Hatuwezi ku-afford politicians ambao wanaweza tishiwa nyau na watu ambao wapo chini yao na kufyata au wakipewa madaraka wana change sides easily.

  Zitto anazo quality hizo, considering his never-ending provoking statements. That is not necessarily a good quality but it demonstrates boldness, his stubbornness and ambitious thinking towards reaching the epitome of leadership in land.

  And in my opinion he is well informed kuliko hao wajuu niliowataja. Tatizo he is not a man of his words, flips flops a lot on his words and his long term commitment; with that in mind you can not trust that kind of a man with national responsibilities, political maturity is needed.
   
 13. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kama hao hawafai wote basi nipeni mieeeee! Kesi ntahukumu mwenyewe,chai ntakunywa Jangwani na wapiga kura wangu, ugali ntakula hospital nawagongwa, usiku ndio ntakula ikulu tena nikisha akikisha kila m TZ aemshiba yeye na hata wageni wake wasokua na mualiko....nipeni kura zenu wananchi....
   
 14. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  I m inlove with your comments thanks for your point of view great thinker
   
 15. k

  kaeso JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bora umepigwa BAN.
   
 16. H

  Hon.MP Senior Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]1. CDM Zitto – Mjanja (mbunifu) na mtu anayeweza kuwasilisha hoja kwa ufundi lakini hafai kwani ni Kigeugeu na kahaba kisiasa ( a double agent ) asiyeaminika na wa kujipenda mwenyewe kuliko hata Chama chake , mtu aliye tayari kutumika kwa ajili ya tumbo lake na wengine wakiwemo mafisadi.[/FONT]
  [FONT=&amp]
  2. CCM Lowasa - Ni msimamizi wa nguvu awapo na madaraka lakini hafai kutokana na alivyokwisha chafuka sana na kwa tuhuma alizojipima mwenyewe akaachia ngazi. Ukweli usiofichika, hana moral legitimacy hata ya kuwa WaziriMkuu tena sembuse kuwa Rais? Ikumbukwe kuwa suala la Richmond mpaka niandikapo hapa mtandaoni dakika hii halijapata uvumbuzi na Umma una uchungu sana na ufisadi huo unaowaumiza .[/FONT]

  [FONT=&amp]3. CUF Lipumba– Mpole naMchumi mwenye zifa ya juu, lakini hali ya kuendelea kuwa Mgombea (toka vyama vingi vianze) kila uchaguzi wakati anashindwa kwa mbali (si tu na Mgombea wa CCM bali hata wa upinzaji sasa CHADEMA) inamwondolea hekima ya asiyekubali kushindwa si mshindani. Pili kwa nchi yetu ilivyo sasa, Rais na Waziri Mkuu hawatakiwi kabisa kuwa watu wapole. Anaweza kustahili kupewa dhamana nyingine shughuli za uwekezaji/ biashara/ masoko kuinua uchumi wetu. [/FONT]

  [FONT=&amp]Swali: Kwa nini tuzungumzie hawa tu watatu tena wenye kasoro kubwa (za kiuongozi) za wazi wazi katika nchi kubwa yenye watu wengine wengi wenye uwezo wa kuongoza mzuri, elimu nzuri na uadilifu usio mashaka? [/FONT]
  [FONT=&amp]Watanzania tufunguke; wakati wa uchaguzi mkuu ukifika, tuache watu wengine wajitokeze na uchaguzi uwe huru na haki, tutumie hekima tutapata Viongozi wazuri![/FONT]
   
Loading...