Tigo ni wezi??

sambestman

Member
Jan 2, 2012
38
18
Wadau naomba msaada jana nimeweka vocha kwenye number yangu ya tigo mara mbili na ikawa inaisha bila mimi kupiga simu ....hawa tigo ni wezi au ni mauzauza yalinitokea?
 
Kama ulikopa ni lazima kulipa kwamaana hiyo walikata madeni yao
 
Back
Top Bottom