Ajira zetu wabongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira zetu wabongo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Think, Aug 3, 2012.

 1. Think

  Think Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwezi wa 3 tanapa walitangaza baadhi ya nafasi za kazi, cha kushangaza nafasi ni chache wanaoitwa lukuki.kwa mfano wanataka watu 16 wanaitwa kwenye usahili watu 234, uwiano upo wapi? au ndo formality?
   
Loading...