CWT ilipeni Serikali gharama za kesi yenu ya mgomo Kwani Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CWT ilipeni Serikali gharama za kesi yenu ya mgomo Kwani Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ambagae, Aug 3, 2012.

 1. a

  ambagae JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CWT Sasa sijui mlijiandaa kwa lolote litakalotokea Au ndo alimradi upepomuvume. Ilipeni Serikali sasa
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona madaktari hawakuambiwa wailipe serikali??!! Hivi kuna uwezekano wa kuishtaki hii serikali kwenye umoja wa mataifa??!!
   
 3. D

  Deofm JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inaelekea hulitakii mema hili taifa, Kwa matokeo yaliyopita ya darasa la saba, wanafunzi zaidi ya 5000 waliingia sekondari wakiwa hawajui kusoma wala kuandika, matokeo ya kidato cha nne asilimia tisa(9%) tu ndio walifaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza hadi la tatu, asilimia tisini na moja (91%) walifaulu kwa daraja la nne na sifuri. Tutarajie nini huko tuendako kama tutaendelea kuwadhalilisha waalimu? vyuo vikuu tulivyojenga vitakua vinadahili wanafunzi kutoka nje ya nchi. hii nayo ni nzuri kwani itaipunguzia serikali usumbufu wa wanafunzi wanaodai ongezeko la fedha za mikopo ya elimu ya juu.
   
 4. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Wakate rufani court of appeal. Mara nyingi hizi kesi za kushinikizwa na hukumu za kuipendelea serikali zikifika huko zinakuwa quashed. Kuna vitu vingi vina walakini ambavyo jaji amejipa madaraka kuviamua ambavyo havikuwa mbele yake. Hopeless.
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Madokta walipaswa wawalipe wagonjwa pia. what a double standard!!
   
 6. B

  B.Panther Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na TISS imlipe DR Ulimboka,Kila kitu kipo wazi kuwa wanahusika.
  Tukianza na Ramadhani I,wa TISS.
   
 7. a

  afwe JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Sikujua, kumbe wewe ndie unaeitwa serikali maaana umejitahidi kukazia hukumu ya huyo jaji
   
 8. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  ni upepo tu unapita
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,792
  Likes Received: 6,304
  Trophy Points: 280
  Mmmmh, hii kitu ni kweli mkuu??
   
 10. D

  Deofm JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina uhakika sana yaani sio exactly ila ni hivi daraja la kwanza hadi la tatu 9.?% daraja la nne na sifuri ni 90.?% kwa hiyo ukikaribisha kimahesabu ndiyo inakuja vile, kama huamini rejea kwenye tovuti ya MOE utafute matokeo halafu unipe majibu, huwa napenda sana watu wanaofanya utafiti ili kupata fact
   
 11. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Acha zako,

  Ngoma hii hata haijaanza,
  kelele nyiiingi,
  Ubabe una mwisho.

   
 12. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Na wasiwasi kama kweli mamaako atakuwa na ufahari juu yako
   
Loading...